Cha mtu kina utamu wake

Mke/mume wa mtu ni sumu, shauri yako!
 
Nimegundua wanaopenda wake za watu wanapenda kuliwa kiboga, sasa wanatafuta njia ya kuanzwa ila hawaioni..... si mseme tu mwataka banduliwa kieleweke
 
Nimegundua wanaopenda wake za watu wanapenda kuliwa kiboga, sasa wanatafuta njia ya kuanzwa ila hawaioni..... si mseme tu mwataka banduliwa kieleweke
Inawezekana.....lol!!
 
jamani tuacheni matani,mme wa mtu au mke wa mtu ana rahaa yake uwii au nyie mnaonaje?
<br />
<br />
wewe umeamkia wapi leo na huu upuuz uliandika hapa,nyambafu,watu kibao wameshaleta thread zao hapa za kusalitiwa na wanaomba ushaur kuokoa ndoazao halafu wewe unafurahia mambo ya kumega mke au mume wa mtu.acha kufikiri kimasaburisaburi,leta mambo ya maana hapa.p...@'&..vu.
 
si utafute wako??? utakufa bure kwa upumbavu.
 
Inategemea!!!!!kama umejizoesha sawa maana utaona ngumu kuacha na mwandani wako utamwona kama hakutoshelezi!!!ni hhulka tu za mtu!!!!!!!nyama bucha zote ni zilezile,utamu uleule,kiwango kilekile!!!!!Acha u'mbwiga' wewe
 
kaibe mke wa mtu moshi mjini afu utakuja kusimulia yatakayokupata.ni zaidi ya mombasa utalazwa miezi 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…