Cha mtu kina utamu wake

Ndugu yangu ukifumaniwa utauawa au utapata kilema cha maisha pole kwa hayo mawazo potofu
 
Wakuu hebu tusimhukumu...


Amesema mke/mme wa mtu mtamu, hajazungumzia utamu gani.... MAWAZO MENGINE BHANA, NGO,NO, NGONO, NGONO

lol
 
yaani hiyo fikra yako haifikiriki
 
Katika haramu mbaya hata usiwaze kuzifanya ni kutembea na mke au mume wa mtu akikupata ana ruhusa ya kukufanya chochote atakacho..
Wewe inaonekana hujaoa au kuolewa umezoea kuiba wake/waume za watu...acha kabisaaaa.
 
jamani tuacheni matani,mme wa mtu au mke wa mtu ana rahaa yake uwii au nyie mnaonaje?

sana tu ndiyo maana haitakiwi uguse! si unaona hata matangazo ya kazi yanataka mtu mzoefu, yaani hababaikibabaiki akiwa kazini!
 
We endelea tu na huo mchezo upate somo.
 
Raha yake ni nini hasa, au zile sifa za kusifiwa kwamba uko vizuri kuliko mke/mume wangu?
 
na wa kwako akiliwa poa tu koz naye ni mtamu kwa mtu mwingine
 
Wewe si ajabu umetoka kumuibia mtu. Akili yako inabidi isaidiwe kufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…