Cha mtu kitamuuu

Mimi nikimkuta mtu na mume wangu I will make her life a living hell. Kwa hiyo ni bora kufanya ka research kabla ya kudandia hilo gari kwa mbele.

Chamtu kibaya we jaribu kuoa au kwamabint kuolewa then utajua uchungu wake maana nibalaa mi nikikuta na wife wangu lzm ulipe starehe yangu. and wife atakoma 9t hiyo mikito. kiujumla sio fresh chawa2 noma maana kimelipiwa vati
 
Kuna siku nilikuwa nasikiliza clouds kipindi cha kina Dina na kina Gea, nilicheka sana. Huko mburahati kuna mdada polisi wa kike wa kikosi kile cha madefender anawasumbua wanawake wenzie kwa kutembea na wame zao. Na wakimfuata anawatisha kuwa atawaweka ndani. Kwa hiyo walikuwa wanalalamika radioni, ili Said Mwema asikilize kilio chao. Yani ni mbabe mumeo anamchukua na anatanua nae hapo hapo mtaani afu anachimba beat kuwa ana uwezo wa kumuweka ndani mtu yeyote atakayemletea za kuleta. Uswahilini kuna mambo!
 
sasa mnataka wapende vya WANYAMA.....km wew ni mtu nilazima upende vya watu...KUKAMILISHA CYCLE.:dance:
upo sawa sawa kabisa, ila hujaieleza kisayansi zaidi. kwa sisi wataalamu wa elimu ya ECOLOJIA (ECOLOGY) hii mambo tunaita 'succession' kwa maana kuwa ni swala la kurithishana na kuendeleza pale mwenzio alipoachia. hii ndio cycle yenyewe! hata kama umeolewa au kuoa hauwezi ukawa wewe ndio wa mwisho kwenye game lazima usaidiwe kwenye baadhi ya mapungufu, sie binaadam no body is perfect.
 
Inategemea ukigongea ukipata cha mtu poa, hakuna anaelazimishwa anamaamuzi yake akikubali poa
 
nikiwa mdogo niliambiwa kudusa (kula kwa watu) ni tabia mbaya!ngoja nisepe.
 
Vaislay, umeibiwa eeee, pole ndio maisha mdogo wangu, yaani kama chain hivi......usikate tamaa muombee tu atatulia
 
Pia unaweza tengeneza chako kikawa kama cha mtu,mbona tunajifunza vingi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…