Kutokujiamini tu, na kutaka sifa za "wewe ni mzuri kuliko mke/mume wangu" mara hivi mara vile, wanajikuta wanajaza vichwa na sifa za kijinga .jitafutieni wa kwenu na maisha utayaona matamu, yaani hakuna raha kama kummiliki mpenzi wako, sio kila siku wewe unakuwa 2nd hand tu, huchoki?