Chabo zingine mmmh

Hahahahaha dah hii safi sana kwenye paper la namba unakula kitu.
 
Aisee hii kali, kumbe ameweka kioo (sight mirror) ili aweze kuangalizia majibu kwa mwenzake wa nyuma yakeeee!!! Sasa hii kama ni pepa la namba kama vile algebra akitumia kioo namba 6 inaweza kuwa 9 na wakati fulani P inaweza kuwa 9. Duh, hapo frequence ya kichwa chake ni 0.
 
bongo watu wadesa lakini si ki hivo!!! utajustfai vipi uwepo wa hizo saiti mira kwenye deski lako??? Profeessor Kanywanywi would have send many home
 
duh hioy kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…