Rula ya Mafisadi
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 404
- 852
Naamini katika Bilble naamini Mungu ni Alpha na Omega nilichukizwa watu walimfananisha Magufuli sawa na Mungu ,Yeyu pamoja na mitume mingine nilichukizwa na nilisema wanamchonganisha Magufuli na Mungu nililikemea wazi wazi .
Na leo nakukemea wazi wazi tena wazi wazi kabisa Mh Mbowe hata hasipofanikiwa kuwa Mwenyekiti Taifa Chadema 2024-2029 Bado tunamuhitaji kwa ushauri kwahiyo acha mara Moja kumchonganisha na Mungu.
Mungu ni mwenye wivu na hapendi kufananishwa na Chochote ...Sijafurahishwa na Yericko Jahanes kumfananisha Mwenyekiti wetu Hon Mbowe na Mungu ..
Nanukuu
""MBOWE NI ALPHA NA OMEGA""
YERICKO acha kumchonganisha Mungu na Hon Mbowe !! ALPHA NA OMEGA NI MUNGU TU WA MBINGUNI.
Hiyo mizimu yako isikufanye umchanganishe Mwenyekiti wetu na Mungu .
Omba radhi na umuondoe Mwenyekiti wetu kwenye uchonganishi wako na Mungu muumba mbingu na nchi kiimani Mh Mbowe siyo Alpha na Omega,Alpha na Omega ni Mungu tu .
Uchawa ni mbaya saana inafikia Sifa za Mungu unampa mwanadamu !!
Na Chacha Machera