Chachandu ya nazi

Chachandu ya nazi

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
32,767
Reaction score
23,198
mahitaji
1. Nazi
2. Punje kadhaa za vitunguu swaumu kadri upendavyo
3. Karoti
4. Corriender leaves
5. Pilipili
6. Ndimu /limao
7. Maji kiasi
kuna nazi, grate karoti, menya swaumu , katataka vipande bya korienda, pilipili

tia vyote kwenye blenda, kamulia limao au ndimu za kutosha.....

Maji kwa mbaaaaali

blendi hadi ilainike kabisa.......

Pakua, unaweza kuila kwa kachori, kababu, nyama za kukaanga,katles, mishkaki, bagia za kunde na za dengu hata chips au wali ukipenda
 
chatne hyio!asante sana,ngoja weekend nimtengenezee shemeji yako!
 
hahahajajaa @ the promise na ruby hii huliwa mbichi na hutoharisha kamwe, ingekua kuna kuharisha basi hata madafu tusingekula maana ni zao la nazi.....
 
Last edited by a moderator:
Huku Mo town tunailaga kwa sana tu hasa mitaa ya kwa Jani (milans)
 
Hapo ni kwa ajili ya watui wa Pwani ndugu yangu sie wa huku Katavi tutayaweza kweli
 
Nimeipenda hii, napenda sana mapish ya ubunifu, 2patie lingine kama unalo.
 
Nazi inakua ktk hali ya tui,au na machicha yake hivyohivyo?
 
Back
Top Bottom