Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,703 Reaction score 1,724 Nov 11, 2011 #1 Wachezaji wetu bwana wana tabia ya ajabu, pindi bunge likiwa kazini wanashinda mechi huko nje. Sasa waje j3 ili wapokelewe mjengoni kama ilivo desturi ya mjengoni.
Wachezaji wetu bwana wana tabia ya ajabu, pindi bunge likiwa kazini wanashinda mechi huko nje. Sasa waje j3 ili wapokelewe mjengoni kama ilivo desturi ya mjengoni.