Chad: Waandamanaji 260 wahukumiwa kwenda jela

Chad: Waandamanaji 260 wahukumiwa kwenda jela

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Mahakama imetoa hukumu ya hadi miaka mitatu kwa waandamanaji hao ambao walishikiliwa katika maandamano ya Oktoba 2022 ambao wanasheria waligomea mchakato wa kesi wakiamini haukuwa wa haki.

Zaidi ya watu 400 walikabiliwa na mashtaka, ikiwa ni pamoja na kushiriki katika mkusanyiko usioidhinishwa na kuvuruga utulivu wa umma.

Mamlaka zilisema watu 50 walifariki katika maandamano hayo, wakiwemo wanausalama 10 wakati vikundi vya kutetea haki za binaadamu vilisema watu 100 waliuliwa na vikosi vya usalama.


========


Chad jails 260 pro-democracy protesters

A court in Chad has handed jail terms of up to three years to more than 260 people who were arrested after deadly protests in October.

The mass trial took place in a high-security prison in the desert. Defence lawyers boycotted proceedings, arguing that the trial itself was not legal.

More than 400 people faced charges, including taking part in an unauthorised gathering and disturbing public order.

Officials said about 50 people died during October's nationwide pro-democracy protests - including 10 members of the security forces.

Rights groups said more than 100 people were killed by security forces.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom