Chad: Watu 50 wauawa katika maandamano ya kudai Demokrasia

Chad: Watu 50 wauawa katika maandamano ya kudai Demokrasia

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Idadi hiyo imetolewa na mamlaka za usalama za Serikali na kuwa watu wengine 300 wamejeruhiwa katika maandamano hayo.

Waziri Mkuu Saleh Kebzabo amedai baadhi ya waandamanaji walikuwa na silaha na kati ya waliouawa ni askari wa vikosi vya usalama, ambapo Serikali imetangaza amri ya kutotoka nje katika mji mkuu na miji mingine miwili iliyoathiriwa na maandamano hayo.

Kiongozi wa upinzani aliiambia BBC kuwa maandamano yataendelea hadi matakwa ya waandamanaji yatimizwe.
---

Around 50 killed in Chad clashes – government
The military-led government in Chad says 50 people have been killed and more than 300 others wounded in a day of protest demanding a transition to democracy.

Newly appointed Prime-Minister Saleh Kebzabo says some of the protesters were armed.

Among those killed were members of the security forces. The government has announced a curfew in the capital and two other towns affected by the protests.

The authorities say an investigation will be launched. An opposition leader told the BBC the protests would continue until the demands of the demonstrators are met.

Chanzo: BBC
 
Sisi hapa Tanzania hatuna shida na demokrasia.

Tozo mpya kila siku.

Na sasa tunalazimishwa bima za afya ilhali serikali imeshindwa kuwahudumia vizuri watumishi wa umma na familia zao kwa bima ya nhif
 
Kwa nilivyoona hayo sio maandamano Bali vurugu!
 
Kwa sababu una mahaba makubwa na madikteta
Mimi nimeona clips,hivi hawawezi kuandamana bila kuchoma matairi na kubeba silaha za jadi?

Huko France, Chezch, Italy mbona watu wameandamana vema tu!Hata Sri Lanka waliandamana vizuri tu mpaka!Wakawa wanafanya usafi ikulu huku wakitunza taarifa nyaraka muhimu za nchi!
 
Back
Top Bottom