CHADEMA 2025 tukienda na Kassim Majaliwa, tutaingia Ikulu

CHADEMA 2025 tukienda na Kassim Majaliwa, tutaingia Ikulu

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Habari Wana JF,

Ukweli ni Ngumu sana kwa Upinzani kuchukua Madaraka ila Kwa sasa kama Upinzani hasa CHADEMA utafanikiwa kumshawishi Majaliwa kuhamia na kugombea Urais litakuwa pigo kubwa ka CCM.

Kiongozi huyu ndiye kiongozi pekee mwenye ushawashi na kukubalika na Watanzania kwa Sasa ikiachana kauli ya kisiasa aliyoitoa dhidi ya kuumwa kwa JPM kwamba bado anachapa kazi.

Lakini Pia atasaidia upinzani kuwa na Wabunge wengi bungeni.

Kwa sasa CHADEMA kiukweli hatuna mtu mwenye Ushawishi sana kama alivyokuwa mzee Wilbroad Slaa hivyo ni Bora kuanza mapema kutafuta mgombea 2025, Majaliwa atatufaa Sana.

Najua wengi mtapinga lakini ndio Siasa ilivyo huwezi Mchukua Ndungai saizi au simamisha mtu yeyote. Hivyo ni muhimu kuangalia hili la kumshawishi Majaliwa kuhamia CHADEMA.
 
Kama nyie ndio think tank wa chadema basi hiko chama kimejaa mazuzu watupu
 
Back
Top Bottom