Nimeyafakari waliokwisha hama kutoka Chadema kwenda CCM ndiyo wanaoifanya CCM iishi na kushamiri kuipiga Chadema Nguvu kazi yote inatoka Chadema.
Kwa hali hii Chadema ni mradi wa CCM. Nimehesabu wakafika watu 80 waliohamia CCM kutoka chadema baadhi ni wakuu wa wilaya,Mawaziri na viongozi wa Taasisi. Kwa hali hii mmebaki kuwa CCM B ,nyinyi ni wabaya kuliko CUF.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM