Leo huko Mbeya mmeenda kuwachoma Mwambukusi na wenzake polisi kuwa wamepiga wimbo wenu na mmesabisha mkutano wao kuvunjwa na polisi.
Huu ni wivu wa kishamba.
Ninyi mlishapuuzwa kwa kutokupigania na kulinda rasilimali za Watanzania.
Acheni Mwambukusi na wenzake wakomae
Chadema kawa rafiki wa polisi tena?CHADEMA wamekuwa polisi?
Shangaa huyu UVCCMChadema kawa rafiki wa polisi tena?
😆😆😆😆😆Leo huko Mbeya mmeenda kuwachoma Mwambukusi na wenzake polisi kuwa wamepiga wimbo wenu na mmesabisha mkutano wao kuvunjwa na polisi.
Huu ni wivu wa kishamba.
Ninyi mlishapuuzwa kwa kutokupigania na kulinda rasilimali za Watanzania.
Acheni Mwambukusi na wenzake wakomae
Mkutano wao umeshindikana kwa sababu ya wimbo? Uwongo mwingine too much. Kule Mwanza hao wahuni walishindwa kufanya chochote tatizo ilikuwa wimbo wa CDM?!Leo huko Mbeya mmeenda kuwachoma Mwambukusi na wenzake polisi kuwa wamepiga wimbo wenu na mmesabisha mkutano wao kuvunjwa na polisi.
Huu ni wivu wa kishamba.
Ninyi mlishapuuzwa kwa kutokupigania na kulinda rasilimali za Watanzania.
Acheni Mwambukusi na wenzake wakomae
Idugunde wewe ni CCM kindakindaki, huu uzi unathibitisha kwamba kina Boniface Mwabukusi wanahujumiwa na CCM ili ionekane kwamba hujuma hizo zomefanywa na CHADEMALeo huko Mbeya mmeenda kuwachoma Mwambukusi na wenzake polisi kuwa wamepiga wimbo wenu na mmesabisha mkutano wao kuvunjwa na polisi.
Huu ni wivu wa kishamba.
Ninyi mlishapuuzwa kwa kutokupigania na kulinda rasilimali za Watanzania.
Acheni Mwambukusi na wenzake wakomae
Leo huko Mbeya mmeenda kuwachoma Mwambukusi na wenzake polisi kuwa wamepiga wimbo wenu na mmesabisha mkutano wao kuvunjwa na polisi.
Huu ni wivu wa kishamba.
Ninyi mlishapuuzwa kwa kutokupigania na kulinda rasilimali za Watanzania.
Acheni Mwambukusi na wenzake wakomae
Mbukusini anabwabwaja tu hana loloteLeo huko Mbeya mmeenda kuwachoma Mwambukusi na wenzake polisi kuwa wamepiga wimbo wenu na mmesabisha mkutano wao kuvunjwa na polisi.
Huu ni wivu wa kishamba.
Ninyi mlishapuuzwa kwa kutokupigania na kulinda rasilimali za Watanzania.
Acheni Mwambukusi na wenzake wakomae
Kijana anaekaribia kustaafu.Naona mzee mwenye miaka 21 wa uvccm ndiyo kwanza kazi kwa kshindo. Anapiga propaganda fyongo kuhusu chadema.
View attachment 2775666
Proper name ni Mwabukusi na siyo MwambukusiLeo huko Mbeya mmeenda kuwachoma Mwambukusi na wenzake polisi kuwa wamepiga wimbo wenu na mmesabisha mkutano wao kuvunjwa na polisi.
Huu ni wivu wa kishamba.
Ninyi mlishapuuzwa kwa kutokupigania na kulinda rasilimali za Watanzania.
Acheni Mwambukusi na wenzake wakomae
Mbona Samia na Mbowe ni marafiki na Mbowe hapendi kusikia Mama anapingwa!Chadema kawa rafiki wa polisi tena?
Eti akosolewe kwa staha 😆😆Mbona Samia na Mbowe ni marafiki na Mbowe hapendi kusikia Mama anapingwa!
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app