Pre GE2025 Ado Shaibu: Mzee Wasira ameletwa kuhamisha ajenda za msingi badala yake tujadili hoja zake za kitoto, tumpuuze

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, ni mbinu ya kimkakati ya chama hicho ili kuzuia mijadala kuhusu Katiba Mpya.

Akizungumza Februari 10, 2025 wilayani Mkuranga mkoani Pwani, alipokuwa akihitimisha ziara yake katika mkoa wa kichama wa ACT wa Mwambao (wenye majimbo ya Rufiji, Kibiti, Mkuranga na Mafia), Ado amedai kuwa CCM inataka upinzani usahau madai ya Katiba Mpya na badala yake ujikite kwenye mijadala kuhusu Wasira.

"Sasa hivi ameletwa mbabaishaji anayeitwa Stephen Wasira. Hii ni mbinu ya CCM ya kuhamisha ajenda. Wanataka tuache kudai Katiba Mpya na badala yake tujadili hoja zake za kitoto," amesema Ado.

Amesema kauli ya Wasira kwamba “Watanzania hawali Katiba Mpya” ni dhihaka kwa wananchi, kwani maendeleo kama maji na barabara hayawezi kupatikana bila mfumo mzuri wa uongozi.

"Mzee Wasira anataka kupoteza muda wetu, badala ya kudai Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya, tunahangaika naye. Dawa yake ni kumuacha na kuendelea kupigania haki ya Watanzania," amesema Ado.
 
Hili linasikitisha sana. Mzee kama yule anakuwa na hoja za kijinga kijinga tu. Sasa kama yeye anasema hayo uvccm unategemea waseme nini
Mzee ashachoka ,kila wakati anasinzia tuu,mara avae koti vishikizo vikiwa vimepishana.Hana jipya analoweza kuliwaza,sisi nao wamechoka.
 
Hakika Mzee yule ni wa kumpuuza Kwa kuwa akili zake zimeshazeeka
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, ni mbinu ya kimkakati ya chama hicho ili kuzuia mijadala kuhusu Katiba Mpya.

Akizungumza Februari 10, 2025 wilayani Mkuranga mkoani Pwani, alipokuwa akihitimisha ziara yake katika mkoa wa kichama wa ACT wa Mwambao (wenye majimbo ya Rufiji, Kibiti, Mkuranga na Mafia), Ado amedai kuwa CCM inataka upinzani usahau madai ya Katiba Mpya na badala yake ujikite kwenye mijadala kuhusu Wasira.

"Sasa hivi ameletwa mbabaishaji anayeitwa Stephen Wasira. Hii ni mbinu ya CCM ya kuhamisha ajenda. Wanataka tuache kudai Katiba Mpya na badala yake tujadili hoja zake za kitoto," amesema Ado.

Amesema kauli ya Wasira kwamba “Watanzania hawali Katiba Mpya” ni dhihaka kwa wananchi, kwani maendeleo kama maji na barabara hayawezi kupatikana bila mfumo mzuri wa uongozi.

"Mzee Wasira anataka kupoteza muda wetu, badala ya kudai Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya, tunahangaika naye. Dawa yake ni kumuacha na kuendelea kupigania haki ya Watanzania," amesema Ado.m
 
Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema uteuzi wa Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Stephen Wasira, ni mbinu ya kimkakati ya chama hicho ili kuzuia mijadala kuhusu Katiba Mpya.

"Sasa hivi ameletwa mbabaishaji anayeitwa Stephen Wasira. Hii ni mbinu ya CCM ya kuhamisha ajenda. Wanataka tuache kudai Katiba Mpya na badala yake tujadili hoja zake za kitoto," amesema Ado.

Amesema kauli ya Wasira kwamba “Watanzania hawali Katiba Mpya” ni dhihaka kwa wananchi, kwani maendeleo kama maji na barabara hayawezi kupatikana bila mfumo mzuri wa uongozi.

"Mzee Wasira anataka kupoteza muda wetu, badala ya kudai Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya, tunahangaika naye. Dawa yake ni kumuacha na kuendelea kupigania haki ya Watanzania," amesema Ado.

Wasalaam.
Ccm wamemuweke kikongwe wassira kwenye umakamo mwenyekiti makusudi ili awatoe chadema kwenye hoja ya msingi ya kudai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, hivyo nawashauri wampuuzi huyo mzee wassijibu kila utumbo anaotapika wanatoka kwenye reli.

Watanzania wa leo sio wa jana angalau wanauelewa wa nini kinaende ktk nchi yao, wameshuhudia bandari ikiunzwa, mbuga zikiuzwa, madini yakitoroshwa matumizi makubwa ya serikali ktk mambo ya anasa na ugumu wa maisha, wenyewe watachagua pumba na mchele kamwe wasimjibu pumba za yule mzee wassira wanatoka kwenye reli
 
Naunga mkono hoja huyo mzee amewekwa hapo mahsusi kuvuruga mijadala ya maana na kuwatoa kwenye reli, huyu tumchukulie kama kichaa tu anayeokota makopo majalalani.
 
Wasalaam.
Ccm wamemuweke kikongwe wassira kwenye umakamo mwenyekiti makusudi ili awatoe chadema kwenye hoja ya msingi ya kudai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, hivyo nawashauri wampuuzi huyo mzee wassijibu kila utumbo anaotapika wanatoka kwenye reli.

Watanzania wa leo sio wa jana angalau wanauelewa wa nini kinaende ktk nchi yao, wameshuhudia bandari ikiunzwa, mbuga zikiuzwa, madini yakitoroshwa matumizi makubwa ya serikali ktk mambo ya anasa na ugumu wa maisha, wenyewe watachagua pumba na mchele kamwe wasimjibu pumba za yule mzee wassira wanatoka kwenye reli
Walishamdharau.......maana hakuna hata cha kujibu. Anarudia yale yale ya mwaka 72
 
Wasalaam.
Ccm wamemuweke kikongwe wassira kwenye umakamo mwenyekiti makusudi ili awatoe chadema kwenye hoja ya msingi ya kudai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, hivyo nawashauri wampuuzi huyo mzee wassijibu kila utumbo anaotapika wanatoka kwenye reli.

Watanzania wa leo sio wa jana angalau wanauelewa wa nini kinaende ktk nchi yao, wameshuhudia bandari ikiunzwa, mbuga zikiuzwa, madini yakitoroshwa matumizi makubwa ya serikali ktk mambo ya anasa na ugumu wa maisha, wenyewe watachagua pumba na mchele kamwe wasimjibu pumba za yule mzee wassira wanatoka kwenye reli
Uko sahihi kabisa kujibizana na hili teja ni kujishushia hadhi,jitu muda wote liyoyoma .
 
Attachments

  • Gi72JxVWgAA0YAz~2.jpeg
    Gi72JxVWgAA0YAz~2.jpeg
    15.3 KB · Views: 2
  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20250125_092130.jpg
    Screenshot_20250125_092130.jpg
    120.8 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1738686918387.jpg
    FB_IMG_1738686918387.jpg
    35 KB · Views: 2
  • FB_IMG_1738771860075.jpg
    FB_IMG_1738771860075.jpg
    12.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom