CHADEMA acheni unaharakati mahakamani. Mmevuka mipaka. Ona Wakili Kibatala alivyonywea kuwatetea

CHADEMA acheni unaharakati mahakamani. Mmevuka mipaka. Ona Wakili Kibatala alivyonywea kuwatetea

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Kibatala: Mheshimiwa Jaji Naona tusifungue mambo mengine, itoshe tu kusema, hakuna wakili atavunja kanuni za Mahakama wala Kwenda Nje ya utaratibu wa mahakama au Taaluma yake, mengine ni mambo ya kibanadamu tu...
 
Hata alie nyanganywa simu leo, tayari yuko kwenye pipa kupeleka tasrifa Usa
IMG_20220114_162658.jpg
 
..harakati hazina ubaya wowote.

..wanaharakati ndio wasafisha njia ya mabadiliko yenye heri na manufaa kwa umma.
 
Back
Top Bottom