PreGE2025 CHADEMA, ACT Wazalendo wamtaka Luhaga Mpina jimbo la Kisesa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Your browser is not able to display this video.


Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameendelea na mikutano ya hadhara jimboni humo, akihutubia wananchi wa Kijiji cha Mwabusalu, Juni 13, 2025.

Katika mkutano huo, wanachama na Viongozi wa vyama vya upinzani, akiwemo Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Kisesa, Tekla James, na mwanachama wa CHADEMA, Fabian Sai Masunga, walijitokeza kumuunga mkono Mbunge Mpina.

“Mpina hana shida, ila CCM ndicho chenye shida. Mtu mwema ni mwema tu, hata porini,” amesema Tekla James.

Naye Fabian Masunga amewataka wana-CCM waendelee kumuunga mkono Mpina, kwani anajua kazi na ana uchungu na wananchi.
 
Mpina anajua ccm hana chake
 
Wataliwa vichwa na vyama vyao
 
Kwani CHADEMA watashiriki Uchaguzi bila reforms?
 
Chadema haishiriki huo uchafuzi
 
wanajitahidi kumpoteza kisayansi sana aise 🐒
 
Ni kweli, maana sifa ya kuwa mwanachama wa ccm ni kulinda wizi na uhalifu, ukiwa kinyume na hayo huna sifa ya kuwa mwanaccm.
Sifa kabambe ya mwana ccm yeyote hiyo
 
Fabian Masunga hana lake huyu. Kwa Kisesa kama CHADEMA ikiingia kwenye uchaguzi hawezi kushinda. 2020 kwenyewe alikuwa amepigwa na Mh. Francis Kishabi waliiba kura mchana kweupe na mwaka huu najua katasimama tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…