CHADEMA, ACT Wazalendo, wana nia nzuri sana na nchi yetu, tatizo liko kwa CCM na Watanzania, hivyo wanapaswa kubadili mbinu za kuinusuru Tanzania

Sanduku la kura si suluhisho la udhalimu huu.
 
CCM ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendeleza utawala wake wa kidhalimu.
 
Hilo la hao wapinzani kuingia ccm kwa mlengo wa kufanya mabadiliko wakiwa ndani ya mfumo nakubaliana na wewe ila si dhani kama wanaweza kufanya hilo jambo
Na CCM wanaweza kuwakataa. Angalia kina Mpina wanajaribu kufanya hivyo wakiwa ndani ya CCM, na ona wanavyonyanyapaliwa na wana CCM wengine bila hata aibu, wakijua wazi Mpina anatetea maslahi ya taifa. Sio rahisi Mpina kupitishwa kugombea tena ubunge kwa tiketi ya CCM. Lakina kina Mpina wakiwa wengi inawezekana
 
Siku zote nimekuwa nikisema ili tupate mabadiliko ya kweli ndani ya nchi hii ni aidha machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi. Hilo la machafuko naliona gumu kutokana aina ya wananchi, na likiwezekana linaweza kuharibu nchi yetu. Lakini hilo la mapinduzi ya kijeshi ndio lenye asilimia kubwa ya kuwezekana, na likifanyika wanajeshi watashangaa tutakavyowaunga mkono.

Baada ya hapo vyama vyote visajiliwe upya, na tusiwe na rais aliye juu ya katiba, asiwepo yoyote mwenye kinga ya kutoshitakiwa. Kisha ushindani wa kisiasa uwe wa sera kweli, na sio huu uhuni unaofanyika sana na kuliingiza taifa letu kwenye laana ya kuuana kwa uchu wa madaraka. Hili la mapinduzi ya kijeshi sijui kwanini jeshi letu hawaoni fursa hii.
 
CCM waendelee kuomba kuwa ndugu zetu wa JWTZ hawataanza kuona maoni kama haya yana mshiko. Watajaribu sana kuwahonga, na watachukua hizo hongo kama zawadi, lakini ipo siku watasema, wait a moment, we need to save the country from marauding hyenas!
Kama jeshi letu halitaona umuhimu wa kufanya hili sasa, sijui tutakuwa na jeshi la aina gani. Yaani kuwa na chama kinachokaa madarakani kwa uhuni wa wazi hivi, nalo linakaa kimya wakati kuna ushahidi usioacha shaka kuwa ccm haina uungwaji mkono wa aina hiyo wanayohadaa nayo watu, itakuwa ni jeshi lisilojua wajibu wake.
 
CCM hatakaa aondoke kwa sanduku la kura, hata siku moja! ashinde, asishinde atashinda!
Wangalau maaskofu wa RC wameshasoma alama za nyakati, wameamua kujitokeza na kubainisha tatizo. Tunategemea taasisi nyingine zijitikeze zikatae uhuni wa aina hii. Nchi nyingi zimeingia kwenye machafuko kwa watu kufumbia macho vyama tawala vinavyochezea chaguzi za nchi. Kinachoendelea ndani ya Msumbiji sasa hivi, ni mfano wa hiki wanachokipika ccm hapa nchini.
 
Mh
 
Demokrasia unajua? Au umeshiba maharage unachafua Hali ya hewa! Sisi hapa tumechagua chair wa mtaa wameweka wanaomtaka wao.
 
Demokrasia unajua? Au umeshiba maharage unachafua Hali ya hewa! Sisi hapa tumechagua chair wa mtaa wameweka wanaomtaka wao.
Ndiyo,
Lazima wananchi waamue mwenyekiti wanaomtaka na kumpenda wao.

Tatizo liko wap hapo gentleman?πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…