Kuna mbinu nyingi tu za kuandamana hasa katika nchi ambazo demokrasia ya kuandamana ni ndogo;
1. Maandamano ya wananchi mtandaoni and kwenye vyombo vya habari
2. Maandamano ya wananchi mtaani
3. Kuwafanya viongozi wa serikali wahahe huku na huko
4. Kufanya vyombo vya dola viandamane bila kujua mijini na vijijini
Kwa mtazamo wangu hata CHADEMA wakiamua kutoandamana kesho kwa kweli tayari dhima kuu ya maandamano imefikiwa kwani Polisi wameandamanishwa tangu juzi bila hata wao kujua. Hii tectic ni nzuri na ni akili kubwa kwa yeyote aliyeisanifu.
Jioni ya leo (5:30) tunasubiri kumsikiliza kiongozi mkuu wa upinzani Freeman Mbowe kuhusu uamuzi wa maandamano hapo kesho. Vyoyote atakavyoelekeza, CHADEMA mmecheza vizuri mno pambano hili.