CHADEMA AKILI YA MWENDO KASI.....

mkubhi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
2,216
Reaction score
3,319
....Ukitaka kuwazuia watu wasifanye siasa basi waruhusu wafanye siasa....Mpaka sasa Chadema wanaonekana wameshinda hata wasipoandamana kwa sababu hadithi yao ya UKUTA imekuwa maarufu katika media na public na imewapa uhai kama Chama....wangeruhusiwa kuendelea kufanya siasa zao kama zamani leo wasingekuwa katika kurasa za mbele kama hivi.....wametengenezewa ajenda nzuri ambayo hawakuwa nayo....just thinking

Edo kumwembe
 
Hata mm nmeona Na kimsing ujumbe ushafka soo hamna haja ya kuwapa polis nafas ya kuapply mafnzo mazto waliyopewa, inabd tukae kmya ili waaibike...!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…