CHADEMA ambaye hajawahi kuhama chama ni kiongozi wa nafasi ya Mwenyekiti pekee - Mtei, Bob Makani na Mbowe

CHADEMA ambaye hajawahi kuhama chama ni kiongozi wa nafasi ya Mwenyekiti pekee - Mtei, Bob Makani na Mbowe

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Makamu mwenyekiti amewahi kuhamia CCM

Katibu mkuu amewahi kuhamia CCM

Wabunge wamehamia CCM

Mwenyekiti wa Bavicha kahamia CCM

Mshauri mkuu wa Chama kahamia CCM

Ni nafasi ya Mwenyekiti tu ndio haijawahi kukimbiwa

Baadae mlale Unono 😀😀
 
Baadae mlale Unono [emoji3][emoji3]
Naona mna ngan'gana na uenyekiti wa Mbowe Sana

Embu tuelezee faida za uenyeketi kwenye taasisi yoyote
 
Makamu mwenyekiti amewahi kuhamia CCM

Katibu mkuu amewahi kuhamia CCM

Wabunge wamehamia CCM

Mwenyekiti wa Bavicha kahamia CCM

Mshauri mkuu wa Chama kahamia CCM

Ni nafasi ya Mwenyekiti tu ndio haijawahi kukimbiwa

Baadae mlale Unono 😀😀
Na covid 19!
 
Tanzania ilivyojaa Mashushushu, siyo rahisi kujua ni nani anahama kiukweli kweli na nani ni mwanachama wa kweli. Inawezekana wote hao uliowataja walikuwa kule kwa kazi maalumu.
 
Makamu mwenyekiti amewahi kuhamia CCM

Katibu mkuu amewahi kuhamia CCM

Wabunge wamehamia CCM

Mwenyekiti wa Bavicha kahamia CCM

Mshauri mkuu wa Chama kahamia CCM

Ni nafasi ya Mwenyekiti tu ndio haijawahi kukimbiwa

Baadae mlale Unono 😀😀
CCM haijwahi toa fomu mbili katika kugombea kipindi cha pili
 
Back
Top Bottom