johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naona mna ngan'gana na uenyekiti wa Mbowe SanaMakamu mwenyekiti amewahi kuhamia CCM
Katibu mkuu amewahi kuhamia CCM
Wabunge wamehamia CCM
Mwenyekiti wa Bavicha kahamia CCM
Mshauri mkuu wa Chama kahamia CCM
Ni nafasi ya Mwenyekiti tu ndio haijawahi kukimbiwa
Baadae mlale Unono [emoji3][emoji3]
Na covid 19!Makamu mwenyekiti amewahi kuhamia CCM
Katibu mkuu amewahi kuhamia CCM
Wabunge wamehamia CCM
Mwenyekiti wa Bavicha kahamia CCM
Mshauri mkuu wa Chama kahamia CCM
Ni nafasi ya Mwenyekiti tu ndio haijawahi kukimbiwa
Baadae mlale Unono ππ
Makamu mwenyekiti amewahi kuhamia CCM
Katibu mkuu amewahi kuhamia CCM
Wabunge wamehamia CCM
Mwenyekiti wa Bavicha kahamia CCM
Mshauri mkuu wa Chama kahamia CCM
Ni nafasi ya Mwenyekiti tu ndio haijawahi kukimbiwa
Baadae mlale Unono ππ
CCM haijwahi toa fomu mbili katika kugombea kipindi cha piliMakamu mwenyekiti amewahi kuhamia CCM
Katibu mkuu amewahi kuhamia CCM
Wabunge wamehamia CCM
Mwenyekiti wa Bavicha kahamia CCM
Mshauri mkuu wa Chama kahamia CCM
Ni nafasi ya Mwenyekiti tu ndio haijawahi kukimbiwa
Baadae mlale Unono ππ
Kipindi Cha pili hamna demokrasia ni mperampera tu mwendo wa lala salama. Hapo ndio Utajua hujuiCCM haijwahi toa fomu mbili katika kugombea kipindi cha pili