CHADEMA anzeni kufungua ofisi mlizozifunga Mtaani

Chadema haihitaji kujitangaza. Inajulikana kila mahala na kila mtu.

Kinavhoakiwa ni kupaambania katiba mpya itakayozaa tume huru. Kinyume na haya ni kupoteza muda tu.
 
Kwa sasa inachohitaji ni mbinu tu ya kukinasa kichwa cha green mamba,na iwe mwisho wa Tambo na jeuri ya green mamba 😂😂🏃🏃🤸🤸
 
Chadema haihitaji kujitangaza. Inajulikana kila mahala na kila mtu.

Kinavhoakiwa ni kupaambania katiba mpya itakayozaa tume huru. Kinyume na haya ni kupoteza muda tu.
Mwanzo waifungua za nini kama ni kupoteza mda. .Ofisi Muhimu sana huku mashinani
 
Back
Top Bottom