The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kwa sasa inachohitaji ni mbinu tu ya kukinasa kichwa cha green mamba,na iwe mwisho wa Tambo na jeuri ya green mamba ๐๐๐๐๐คธ๐คธChadema haihitaji kujitangaza. Inajulikana kila mahala na kila mtu.
Kinavhoakiwa ni kupaambania katiba mpya itakayozaa tume huru. Kinyume na haya ni kupoteza muda tu.
Mwanzo waifungua za nini kama ni kupoteza mda. .Ofisi Muhimu sana huku mashinaniChadema haihitaji kujitangaza. Inajulikana kila mahala na kila mtu.
Kinavhoakiwa ni kupaambania katiba mpya itakayozaa tume huru. Kinyume na haya ni kupoteza muda tu.
Mwanzo walifungua ili kukitangaza chama. Lkn kwa Sasa kishajulikanq, inatosha. Hakuna haja ya ofisi tenaMwanzo waifungua za nini kama ni kupoteza mda. .Ofisi Muhimu sana huku mashinani
Ngoja Vita ya Gaza iishe
Erythrocyte take note pleaseMzee baba alipoingia madarakani. Ofisi nyingi sana za Chadema zilifungwa huku mitaani .
Ni muda sasa wa kufungua matawi yaliyofungwa ili kukitangaza chama na kupata wanachama wapya
Jumapili njema
Kodi za wananchi zinazopigwa huoni๐Fedha za ruzuku zinapigwa