Whitesmith
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 454
- 635
[emoji23] [emoji23] Jinga kweli.Labda hizo ventilators tutumie wenyewe wanachadema[emoji6]!
[emoji23] [emoji23] Jinga kweli.
Tatizo la Tanzania mambo yanayohusu watanzania yamewekwa kisiasa sana na hakuna hata mtu anashtuka.
Tumeendekeza sana siasa kila mahali, hakuna siku CCM na CHADEMA/Upinzani watakaa meza moja kuzungumza masuala ya KITAIFA.
Tufikie hatua tupende nchi zaidi ya tunavyopenda siasa na madaraka.
Nimependa ulivomalizia?Wakati viongozi wa Chadema walivyopoteza Uhuru wao kwa kufungwa kisiasa tulichanga 310Millions kutetea Uhuru ulioporwa kisiasa.
Iko wazi sasa Uhuru wetu unatakwa kupotezwa na ugonjwa hatari wa Covid 19, kwasababu hatuoni njia mbele yetu no wazi sasa, chama kitumie ushawishi wake tutapata zaidi ya Mabilion na tutaweza ongeza ventilator na PPE, nk
Chadema viongozi tengenezi solution msing'angania kutoa weaknesses za serikali kitu ambacho hakisaidii kabisa kunusuru maisha ya watu.
Mods Uzi wangu Jana mliutoa, mtoe na huu
Dah kuna siku mtu atakosa damu akatae kuongezwa damu ya MwanaCCM/CHADEMA.[emoji133][emoji133][emoji133]yaani mie nichangir atumie mwanaccm..big no
Si unajua Dini yetu haina chama. Mimi sina chama mkuu.Nyie miccm ndo mmetufikisha huku leo iweje mnalalamika???
Mnakumbuka Lema alipofungwa mlisema nini?? Yaone
Hahhahha...inabidi tupone wote aide ili tuendeleze siasa zetu hizi hata km zinaudhiLabda hizo ventilators tutumie wenyewe wanachadema😉!
Most CDM sycophants are very stupid. So wasikupasue kichwa.
👯👯👯yaani mie nichangir atumie mwanaccm..big no
Kama kuna hospital za CHADEMA ni sawa.Labda hizo ventilators tutumie wenyewe wanachadema😉!
Wakati viongozi wa Chadema walivyopoteza Uhuru wao kwa kufungwa kisiasa tulichanga 310Millions kutetea Uhuru ulioporwa kisiasa.
Iko wazi sasa Uhuru wetu unatakwa kupotezwa na ugonjwa hatari wa Covid 19, kwasababu hatuoni njia mbele yetu no wazi sasa, chama kitumie ushawishi wake tutapata zaidi ya Mabilion na tutaweza ongeza ventilator na PPE, nk
Chadema viongozi tengenezi solution msing'angania kutoa weaknesses za serikali kitu ambacho hakisaidii kabisa kunusuru maisha ya watu.
Watakamatwa maana utakiwi ufanye chochote cha umaarufu kumzidi mkuu wa malaikaWakati viongozi wa Chadema walivyopoteza Uhuru wao kwa kufungwa kisiasa tulichanga 310Millions kutetea Uhuru ulioporwa kisiasa.