CHADEMA anzisheni nafasi ya Katibu Mwenezi badala ya kurugenzi ambayo ina mzigo wa majukumu ya utawala badala ya kueneza chama (publicity)

El Roi

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2020
Posts
297
Reaction score
537
Katika kutazama formation ya Chadema, Moja ya udhaifu mkubwa walionao ni kukosa uenezi hasa wa kazi zao za siasa.

Hii kurugenzi ilivyo, imekaa zaidi kitechnocrat badala ya kukaa kisiasa zaidi. Siasa na Imani ya chama ni bidhaa, hivyo lazima ifanyiwe ( umasoko) au ukipenda marketing.

Hiyo hasa ndo missing link miaka yote hii nimeinua Chadema.

John mrema ni technocrat. Anafanya zaidi shughuli za utawala na organaizesheni kuliko kukitangaza chama.

Chama ni kutoka nje, kupiga mbinja ya Nia yenu, Fanya mikutano na uhutubie. Jenga watu wako kiitikadi nk.

Hivyo basi, nakushauri Uongozi mpya upate idara ya uenezi ambayo ni outgoing yenye katibu mwenezi. Huyu apange namna chama kitakavyofika kwa watu, aandae mikutano na ahutubie. Awe na uwezo wa kuzunguka Kila mahala na timu yake akifanya publicity na kusimamia matokeo.

Awe na uwezo wa kuongea ( verbal intelligence na siyo kimya kama alivyofanya Mrema.,

Hivyo basi, nashauri kuona muundo wenu Tena na kuwa na katibu mwenezi ambaye kazi yake ni kuhakikisha chama kinaonwa na kuwasemea watu, itikadi ya chama chenyewe nk.

Kama God bless Lemma asingekuwa possibly amewekewa nafasi nyingine, huyu ndo mtu sahihi kufanya publicity.

Siku njema .
 
Naunga mkono hoja, lema apewe kitengo Cha uenezi taifa
 
Back
Top Bottom