Giddy Mangi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 830
- 184
Duh!!!Chadema Arumeru ni mfano wa kuigwa kwa kuanzisha Ligi ya Mpira wa Miguu.Hongera Mbunge Mh Joshua Nasari Mungu atakulipa kwa moyo wako wa kusaidia vijana.KILEWO,NASARI NA KOMBE WAWASHA MOTO Arumeru vijana wapo tayari kuzuia malipo ya Dowans.
Hongereni makamanda,Viva Chadema..kwani Joshua Nassari ndo mbunge wa arumeru mashariki?
Nasari ndiye aliyeshinda uchaguzi ila nec wakamtangaza Sumari. Sumari alianza kuugua kabla ya uchaguzi hadi leo. Hata kuapishwa bado wala hajatia mguu dom tangu mwaka jana!