kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Chadema baada ya kufeli zoezi zima la uandikishaji, wameamua kuja na mkakati wa kuandika vikaratasi vyenye majina na kuwalipa watu waende vituoni kujifanya wameleta hayo majina nje ya utaratibu ili kujifanya CCM ndio wameleta hayo majina.
Chadema si watu wazuri hata kidogo wanatafuta vijisababu wamekusanya wanafunzi, na kuwapiga picha kutaka kuwaonyesha umma kuwa hao wanafunzi wanajiadikisha maalumu kwa ajili ya kuiongezea kura CCM.
Niwaase ndugu zangu wa Chadema muda uliobaki ni mfupi jipangeni mnaweza kuambulia hata mtaa mmoja mkapata pa kusemea lakini, hizo propaganda mfu hazileti tija.
Juzi nilikaa vituo tofauti kama vitano lakini sikuona hiyo kadhia na watu wanakuja kwa hiyari yao bila kusukumwa!
Chadema imekwisha shindwa uchaguzi kabla kura hazijapigwa wa kuwalaumu ni viongozi kukosa maono ya uongozi!