Siyo wanapenda. Wanaahidiwa chochote kitu na wakubwa wao huko ubelgiji. Njaa inawatesa, hadi wanajitoa muhanga.Mkuu uko kama miye. Na mijitu mingine mpaka inauliwa ikiwa mbele kwenye maandamano. Ukiiuliza unapigania nini hasa hata haijui. Halafu kesho na kesho kutwa hao hao unaowapigania mpaka kuhatarisha maisha yako unawakuta wako pamoja wanafakamia keki ya taifa. Utopolo mtupu na kamwe sitakaa nishabikie mwanasiasa !
Umesoma nilichokuambia? Kwa nini unalazimisha? Nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekosea?Nyinyi ni mashabiki na bado
Jiite wewe kwanza mpumbavu acheni ushabikiUmesoma nilichokuambia? Kwa nini unalazimisha? Nikikuita mpumbavu nitakuwa nimekosea?
Wewe ni mpumbavu kama Meko. Meko alichakachua kura akaiba mpaka visivyoibika. Matokeo yake baada ya kukosa wapinzani bungeni anarudi tena kuchakachua ili wapatikane wabunge wa upinzani. Hiyo kweli ni akili? Upumbavu wa kiwango cha juu kabisa.Jiite wewe kwanza mpumbavu acheni ushabiki
Hata ungekuwa ni ww ungeenda tuHivi mmesoma shule gani nyie watu? Nikujitoa ufahamu kwa kuwa mko kwenye ulaji au ni kukosa akili?
Bila shaka CDM imebomolewa kabisaSiasa ni kuiharibu na kuitengeneza ili tupate misaada.
Kwa kuwa hunijui sitakulau. Ni kweli, ni watu wengi hawawezi kukataa ulaji kama huu. Lakini siyo mimi! Katu! Yaani niwe nimefanyiwa kama huyo dada aliyekaa rumande muda wote bila kosa halafu nije nitupiwe ''nyama'' kama mbwa ili kunipoza? Au niwe nimefanyiwa kama Halima Mdee, kura ziporwe kwa nguvu mchana kweupe halafu nije nitupiwe posho kama mbwa? Au kiongozi wangu niliyeshirikiana naye kupambana apigwe risasi kwa lengo la kuuawa kama Lissu halafu nije nitupiwe bakshishi nimsaliti? Du... acha nife na umaskini wangu kama ambavyo siwezi kuua ili nipate fedha.Hata ungekuwa ni ww ungeenda tu
Sasa ukikaa tu home ndio chama kinakufaKwa kuwa hunijui sitakulau. Ni kweli, ni watu wengi hawawezi kukataa ulaji kama huu. Lakini siyo mimi! Katu! Yaani niwe nimefanyiwa kama huyo dada aliyekaa rumande muda wote bila kosa halafu nije nitupiwe ''nyama'' kama mbwa ili kunipoza? Au niwe nimefanyiwa kama Halima Mdee, kura ziporwe kwa nguvu mchana kweupe halafu nije nitupiwe posho kama mbwa? Au kiongozi wangu niliyeshirikiana naye kupambana apigwe risasi kwa lengo la kuuawa kama Lissu halafu nije nitupiwe bakshishi nimsaliti? Du... acha nife na umaskini wangu kama ambavyo siwezi kuua ili nipate fedha.
Pole hiyo imeshapita! Tugange yajayo. Mlipoambiwa upinzani unakufa 2020 mlikataa sasa naona akili zimeshawarudia. PoleniKuna ka msemo ka Kiswahili kanasema
"Hakunaga Umoja kwenye Njaa akitokea mwenye chakula "
Ni dhahiri shahiri huu msemo unatumika sasa kwa kile ambacho kinatokea na kinachoendelea kutokea ndani ya CHADEMA
Ni ujinga mkubwa kiasi gani kuona usaliti wa namna hii unatokea.Watu wamefungwa gerezani,kupigwa, kujinyima ili tu wapate haki yao halafu anatokea mtu ambaye alikua anawahimiza wananchi kujitolea anawasaliti mbele yao tena dakika za lala salama kabisa.Ina maana hawa wabunge wa CDM walioapa kama Wabunge wateule wa viti maalumu hawajaona AIBU kabisa kwa usaliti wao huu!!,Huku si kuwasaliti wanachama tu yaani umesaliti hata Nchi yao Mama.
Watu wanasaliti ilihali MAPAMBANO ya kutafuta haki bado yanaendelea. Inasikitisha sana
Halima Mdee na kikundi chake wamesaliti Nchi.Hawafai kufumbiwa macho kabisa.Wanafaa kuondolewa uanachama
Alamsiki
Una nini maskini wa kutupwa!Kwa kuwa hunijui sitakulau. Ni kweli, ni watu wengi hawawezi kukataa ulaji kama huu. Lakini siyo mimi! Katu! Yaani niwe nimefanyiwa kama huyo dada aliyekaa rumande muda wote bila kosa halafu nije nitupiwe ''nyama'' kama mbwa ili kunipoza? Au niwe nimefanyiwa kama Halima Mdee, kura ziporwe kwa nguvu mchana kweupe halafu nije nitupiwe posho kama mbwa? Au kiongozi wangu niliyeshirikiana naye kupambana apigwe risasi kwa lengo la kuuawa kama Lissu halafu nije nitupiwe bakshishi nimsaliti? Du... acha nife na umaskini wangu kama ambavyo siwezi kuua ili nipate fedha.
Mbowe anaonesha dalili za uoga sna.CDM haipaswi kuendelea na watu wa dizaini hiiNasikitika kizungumkuti nasubiri kauli ya chama
Pole mkuu!Mkuu uko kama miye. Na mijitu mingine mpaka inauliwa ikiwa mbele kwenye maandamano. Ukiiuliza unapigania nini hasa hata haijui. Halafu kesho na kesho kutwa hao hao unaowapigania mpaka kuhatarisha maisha yako unawakuta wako pamoja wanafakamia keki ya taifa. Utopolo mtupu na kamwe sitakaa nishabikie mwanasiasa !
Mkuu SIASA nimaisha.Usiposhabikia SIASA basi tambua unaishi ndani ya SIASA!Hivi huwa mnashabikia nini kwenye siasa mbona Mimi huo mzuka sinaga yani kama vile mpira
Kwa Intimidation basi kafanikiwa kwa asilimia 100🙌Magu aliposema CHADEMA kufikia mwaka 2020 na upinzani wote utakuwa umekufa
Hawakumwelewa
Bila kusahau kupewa viwanja MASAKI na MBEZI BEACH kwa pesa za serikaliNasikia eti wamepewa ulinzi, wanalindwa na usalama wa taifa
Mmmh acha ww njaa ndiozimewasukuma mabadiliko yapokwemioyo yawatu yn hatawangesema kilamwezi wanachama wakichangie chamachao wangetoa kuliko huu utopolo waliufanyaNadhani CHADEMA imetumia busara kubwa hadi kuwaruhusu wabunge wa upinzani. CHADEMA wametumia akili kubwa. Kwa sitiation iliyopo, muingie bungeni ama msiingie bungeni kila kitu kitaendelea kama kawaida. Mkiwa na msemaji mmoja tu bungeni anaweza kubadilisha upepo ambavyo isivyotarajiwa. Ingawa Mataga wanaweza kuona kwamba CHADEMA wamejimaliza ukweli ni kwamba chadema imepata pumzi mpya. Wamepata uwanja wa kuongelea...wamepata uwanja wa kusikaka midomoni mwa watu.
Sasa wawakilishi wachache waliopo bungeni wanaenda kutikisa bunge. Wanaenda kusikika kitaifa na kimataifa.
Mapambano ni mbinu. Na wakati mwingine mbinu zinaweza kuonekana za kijinga lakini ndizo zinazoleta mageuzi. Vuteni subira muone.