CHADEMA baada ya miaka 28 hatimaye leo imekufa rasmi

MBOWE sio mtu mzuri ana TAMAA sana ... itachukua miaka hata 50 kuja chama cha upinzani TANZANIA 🇹🇿
 
Nakubali mkuu hatimae CHADEMA imekufa sasa mimi inaniuma sana hel yangu niliwachangia aisee.Si wangewaaacha tu CCM waendeshe nchi wenyewe bureee kabisa
Huu no USALITI mkubwa sana.Hawafai kuendelea kuwepo ndani ya chama
CDM imejidhoofisha sana,sijui watasema nini mbele ya Wananchi 2025
 
Hivi huku JF msalani ni wapi? Nimekula mafenesi basi nikichanganya na yanayojiri nchini tumbo linavuruga sana.
😂😂🤣🤣🤣Nimecheka Asee...
Waulize mbele huko huku nyuma hakuna nafasi kabisa
 
Mbowe anaonesha dalili za uoga sna.CDM haipaswi kuendelea na watu wa dizaini hii
Wafute uanachama, anza kutengeneza wengine

CDM ni chama cha wananchi
CDM .Nichamachake pamaja nawachagawenzie.nandiomaana yule dada wa.Geita hakupewa nafasi
 
Nasikia eti wamepewa ulinzi, wanalindwa na usalama wa taifa
Mkuu Bujibuji nilikuwa nakusikitikia sana, na Mshana, kwa jinsi ulivyokuwa unajitoa ufahamu kama mtoto wa juzi kumbe umeona chaguzi zote toka vyama vingi vilipoanza. Mkuu wewe hujui drama za wana siasa kaka?
Pole sana, ndio maisha lakini, acha yaendelee. Possible kuna mikakati imepangwa na cdm ya kupiga ndani na nje.
Au tusubiri kauli ya chama.
 
Dola inaweza Kuuwa chama chochote cha siasa LAKINI Kwame haiwezi uwa UPIZANI.
Mfano CUF walidhani upizani zenj ni CUF it come to be wrong
 
Wapinzani wachumia tumbo ndo wamejaa Tanzania, mpinzani wa kweli ni maalim self tu
Hujasikia ile kauli yake kwenye ile Video Clip?
Ameshaunga mkono Serikali ya Zanzibar
Utopolo kabisa
 
Kwenda kule chadema chadema ndio Nini..si Sacco's tu..hivi unadhani. Watakula wapi jomba, na Wana familia watoto shule, magari ,madeni ya mikopo, we unafanya mchezo nini.?? Kama unasema utawalisha wote hao na kuwatimizia mahitaji yao kea miaka 5 jitokeze ili wajitoe..vinginevyo unawapigia kelele tu...
 
Game nyie hamliwezi, subiri huyo Mnyika wako kama ataropoka, na huyo Mbowe kama atajishebedua. Ukitaka kuona uzalendo ona jinsi halima alivyojielezea kwa adabu na heshima. Tulishawaambia muheshimu mamlaka, tufanye siasa za staha nyie mnataka kufanya siasa za ugomvi, kikubwa viongozi wenu wameelewa nyie nyumbu mtaelewa tu
 
Hahahahaha wajameni mnakumbuka maandamano yasiyo na kikomo nchi nzima..yamefikia wapi wajameni..
 
Una nini maskini wa kutupwa!
Wachunga ng'ombe mmepewa vi-nafasi vya uongozi mara hii mnaanza kudharau watu eti ni ''maskini wa kutupwa''! Haya walikuwepo wenye fedha na nguvu kuliko nyie lakini waliishia mwisho mbaya. Dhulma na mauaji mnaowafanyia watu wasio na hatia mwisho wake waja na siyo mzuri. Bora nibaki ''maskini wa kutupwa'' kuliko kujiunga kujiunga kwenye kundi la wauaji na dhulmati !
 
Sasa ukikaa tu home ndio chama kinakufa

Coz the way nimekuelewa ni kwamba wao wasingekwenda then sijui kama umewaza chama kingejiendesha vip?

Ww Leo tukikwambia changia mafuta Lita 1000 ya magari ya chama utatoa?
Pengine naweza kuwa nilishachangia! All ni all. Hakuna dude litakalopigania haki kwa niaba ya watanzani bali ni watanzania wenyewe.
 
Hivi huku JF msalani ni wapi? Nimekula mafenesi basi nikichanganya na yanayojiri nchini tumbo linavuruga sana.
Fanya kama unainuka hivi halafu sukuma gesi itoke hautasikia tena tumbo kuvuruga[emoji3][emoji3]
 
Hata uwezo wa kujiunga huna nani akuunge wewe vuvuzela.
 
Kama kweli mdee kashiriki bila baraka za chama, basi ujue walitumiwa wanaume wa shoka kuwakuna.
Of all the people halima kasaliti?
Bado sjaamini hadi nisikie statement ya chama.
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Kama ni kweli hawana baraka za chama ndo kwishney yao.
Dunia na ijue sasa tuna dikteta tanzania
Subiri 2025,watapiga nyomi mbili tatu kwenye kampeni halafu watakuja humu kukuuliza kama CHADEMA imekufa![emoji16].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…