Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Wakuu Chama Kikuu cha Upinzani kinaendelea Kupoteza Credibility yake Na Reputation yake kiliyo ijenga Kwa zaidi ya Miaka 30, Just within three months tumeshuhudia Mambo ya Ovyo sana yakisemwa juu ya Chama Hichi ambacho Tuliamini wakati fulani Kinaweza Kushika Hatamu za Uongozi nchi Hii,
Kwa kweli tulipofikia Ni Uchaguzi Uishe tugawane Fito tu maisha mengine yaendelee Mana Kwa makundi haya Tuliyonayo ile Unit ya Kupambania Taasisi ita detoriate sana Sana,
Kwa kweli tulipofikia Ni Uchaguzi Uishe tugawane Fito tu maisha mengine yaendelee Mana Kwa makundi haya Tuliyonayo ile Unit ya Kupambania Taasisi ita detoriate sana Sana,