Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
TAL akishinda atlest chama kinaweza Kupata Uhai tena na Kikaanza kwa mtazami wa tofauti ila sioni kabisa Uungwaji Mkono wa Chama Ikitokea FAM akashinda tena UwenyekitiWagawane tu maana sultan amekomlia kiti
Mbowe alishindwa Kabisa ku predict hatari ya TAL siku za nyuma na Kumkabiri kabla hajakiwa tishio ivi? Ona sasa amemchafua vya Kutosha na Uzee uleChui waliofugwa na Mbowe, wamekua
Sio rahisi kuna wafuasi hawatahama na LisuWakuu Chama Kikuu cha Upinzani kinaendelea Kupoteza Credibility yake Na Reputation yake kiliyo ijenga Kwa zaidi ya Miaka 30, Just within three months tumeshuhudia Mambo ya Ovyo sana yakisemwa juu ya Chama Hichi ambacho Tuliamini wakati fulani Kinaweza Kushika Hatamu za Uongozi nchi Hii,
Kwa kweli tulipofikia Ni Uchaguzi Uishe tugawane Fito tu maisha mengine yaendelee Mana Kwa makundi haya Tuliyonayo ile Unit ya Kupambania Taasisi ita detoriate sana Sana,
Amechafuliwa au ukweli umeanikwa?Mbowe alishindwa Kabisa ku predict hatari ya TAL siku za nyuma na Kumkabiri kabla hajakiwa tishio ivi? Ona sasa amemchafua vya Kutosha na Uzee ule
Unaongelea enzi ambazo wanachama walikuwa na imani na uongozi na sio sasa bwashee.Sio rahisi kuna wafuasi hawatahama na Lisu
Hakuna mtu alikuwa na nguvu ndani ya Chadema kama Dr Slaa
Alipohamia CCM hakuja na wanachama
Lisu hamn kitu hamshindi Slaa akiondoka Chadema ataondoka mwenyewe tu
Kama Slaa alishindwa kugawana fito sembuse Lisu
Lisu hamna kitu
Yaani ujitoe upigwe risasi ufe ili James mbowe na baba yake wale utakua ni wendawazimu huo akishinda mbowe na chama kife tuUnaongelea enzi ambazo wanachama walikuwa na imani na uongozi na sio sasa bwashee.
Chama chini ya Mbowe hakiaminiki tena na hakuna mwenye akili anayeweza kujitoa kwa chama ili mbowe na machawa yake waendelee kushiba kwa mgongo wa chama.
Chama hakiaminiki hadi uongozi mypa wenye maono uje
Chukua chako mapema nyie mtagawana tope lililokandika fito zilizo ijenga nyumba yenu.Wakuu Chama Kikuu cha Upinzani kinaendelea Kupoteza Credibility yake Na Reputation yake kiliyo ijenga Kwa zaidi ya Miaka 30, Just within three months tumeshuhudia Mambo ya Ovyo sana yakisemwa juu ya Chama Hichi ambacho Tuliamini wakati fulani Kinaweza Kushika Hatamu za Uongozi nchi Hii,
Kwa kweli tulipofikia Ni Uchaguzi Uishe tugawane Fito tu maisha mengine yaendelee Mana Kwa makundi haya Tuliyonayo ile Unit ya Kupambania Taasisi ita detoriate sana Sana,
Lissu bado anaungwa Mkono na Senior members wengi tu wachama Wengine wako Openly kabisa na Wengine hawataki KuonekanaSio rahisi kuna wafuasi hawatahama na Lisu
Hakuna mtu alikuwa na nguvu ndani ya Chadema kama Dr Slaa
Alipohamia CCM hakuja na wanachama
Lisu hamn kitu hamshindi Slaa akiondoka Chadema ataondoka mwenyewe tu
Kama Slaa alishindwa kugawana fito sembuse Lisu
Lisu hamna kitu
Nakuhakikishia Lisu akihama chadema hata hao senior members hawatahama naye mark my words bold kabisa na highlight na marker penLissu bado anaungwa Mkono na Senior members wengi tu wachama Wengine wako Openly kabisa na Wengine hawataki Kuonekana
Lowasa Huwezi kumu associate na Chadema kwa sababu alikuja Kwa interest zake, Kutaka Urais ivo Kusema ni Angeweza kuondoka na watu ni Ngumu, Leo angalia watu kama Kina Lema, Heche na wengineo unadhani watakaaje na Mbowe akishakuwa Mwenyekiti tena?Nakuhakikishia Lisu akihama chadema hata hao senior members hawatahama naye mark my words bold kabisa na highlight na marker pen
Lusu hamzidi popularity aliyokuwa nayo Lowasa au Slaa.Chadema senior hawakuondoka Lowasa au Slaa au Msigwa alipoondoka
Lowasa alirudi tu na wana CCM aliohama nao lakini senior wa Chadema hawakuondoka naye.Same kwa Slaa na Msigwa
Lisu kajaa tu upepo wa kawaida sana hana ubavu wa kuikata chadema awe yeye au Lema
Ni wa kawaida sana
Lisu pia ni mhamiaji kama Lowassa tuLowasa Huwezi kumu associate na Chadema kwa sababu alikuja Kwa interest zake, Kutaka Urais ivo Kusema ni Angeweza kuondoka na watu ni Ngumu, Leo angalia watu kama Kina Lema, Heche na wengineo unadhani watakaaje na Mbowe akishakuwa Mwenyekiti tena?
Wakuu Chama Kikuu cha Upinzani kinaendelea Kupoteza Credibility yake Na Reputation yake kiliyo ijenga Kwa zaidi ya Miaka 30, Just within three months tumeshuhudia Mambo ya Ovyo sana yakisemwa juu ya Chama Hichi ambacho Tuliamini wakati fulani Kinaweza Kushika Hatamu za Uongozi nchi Hii,
Kwa kweli tulipofikia Ni Uchaguzi Uishe tugawane Fito tu maisha mengine yaendelee Mana Kwa makundi haya Tuliyonayo ile Unit ya Kupambania Taasisi ita detoriate sana Sana,
Huu ni upepo tu utapitašUnaongelea enzi ambazo wanachama walikuwa na imani na uongozi na sio sasa bwashee.
Chama chini ya Mbowe hakiaminiki tena na hakuna mwenye akili anayeweza kujitoa kwa chama ili mbowe na machawa yake waendelee kushiba kwa mgongo wa chama.
Chama hakiaminiki hadi uongozi mypa wenye maono uje
Chadema remained the same after Zitto Kabwe , Lowassa and Dr Slaa left the party who were more popular than LisuWill never be the same again
Mkuu kuna jambo hulioni, mazingira, teknolojia ya Habari na nyakati ni tofauti.Sio rahisi kuna wafuasi hawatahama na Lisu