Chadema: Badili sera ya "no reform no election".

Congo

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2008
Posts
2,081
Reaction score
2,325
Sera ya no reform no election inawaoeleka shimoni. Fanyeni vitu vyo lakini maneno hayo hayaeleweki hata nie wenyeqe chadema mnashindwa kuyafafanua vema. Yaondoeni kwenye sera zenu.
 
Unataka ufanyike uchaguzi kwa hali hii ili Wauawe Watu wangapi?
 
Sera ya no reform no election inawaoeleka shimoni. Fanyeni vitu vyo lakini maneno hayo hayaeleweki hata nie wenyeqe chadema mnashindwa kuyafafanua vema. Yaondoeni kwenye sera zenu.
Tunayaelewa sana, nasema kwa sauti kuu, CHADEMA chini ya Tundu Lissu, wako sahihi sana NO REFORM, NO ELECTION.
 
What is not to be erected?
Yani tusipofanya reforms ndani ya chadema, hatuezi kuidindishia CCM.
ni hivo tu

kwa maoni yangu na ya wengine wengi, Uharakati tuwaachie kina mdude 7x70.

Viongozi wakuu wauze sera.
 
Himizeni watu wakajiandikishe kwa wingi. Muitikio ukiwepo automatically tutasema hiyo sera imefeli ila hadi wakati huu wanaelekea kufaulu.
 
Sera ya no reform no election inawaoeleka shimoni. Fanyeni vitu vyo lakini maneno hayo hayaeleweki hata nie wenyeqe chadema mnashindwa kuyafafanua vema. Yaondoeni kwenye sera zenu.
Mbona limeeleweka somo vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…