We kwl ni zombie, mkurugenzi wa uchaguzi atangaze halafu we ngumbaru ni naniNi mapema sana kusema CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kwa kutokushiriki utiaji saini wa kanuni za maadili ya uchaguzi wa 2025 uliofanyika leo tar 12 April.
Tarehe hii haipo kisheria na hakuna mahala inasema utiaji sahihi ufanyike muda gani kabla ya mchakato wa uchaguzi. Ingawa nina wasiwasai utiaji sahihi huu lazima ufanyike kabla ya mchakato wa uchaguzi haujaanza
Hivyo endapo kutakuwa na maelewano baina ya Chadema, na Tume ya uchaguzi kabla ya mchakato wa uchaguzi au muda uliowekwa basi watasaini.
Kwani kuna uchaguzi wa maana wakutia mtu wasi wasi kweli? Uchaguzi bila reforms ni upotevu wa pesa za walipa kodi.Ni mapema sana kusema CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kwa kutokushiriki utiaji saini wa kanuni za maadili ya uchaguzi wa 2025 uliofanyika leo tar 12 April.
Tarehe hii haipo kisheria na hakuna mahala inasema utiaji sahihi ufanyike muda gani kabla ya mchakato wa uchaguzi. Ingawa nina wasiwasai utiaji sahihi huu lazima ufanyike kabla ya mchakato wa uchaguzi haujaanza
Hivyo endapo kutakuwa na maelewano baina ya Chadema, na Tume ya uchaguzi kabla ya mchakato wa uchaguzi au muda uliowekwa basi watasaini.
Hakuna uchaguzi hapo, hivyo vyama vinaenda kupigwa kitu kizitoNi mapema sana kusema CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kwa kutokushiriki utiaji saini wa kanuni za maadili ya uchaguzi wa 2025 uliofanyika leo tar 12 April.
Tarehe hii haipo kisheria na hakuna mahala inasema utiaji sahihi ufanyike muda gani kabla ya mchakato wa uchaguzi. Ingawa nina wasiwasai utiaji sahihi huu lazima ufanyike kabla ya mchakato wa uchaguzi haujaanza
Hivyo endapo kutakuwa na maelewano baina ya Chadema, na Tume ya uchaguzi kabla ya mchakato wa uchaguzi au muda uliowekwa basi watasaini.
Maelewano na wahuni? Hakuna kitu kama hicho wasuseNi mapema sana kusema CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kwa kutokushiriki utiaji saini wa kanuni za maadili ya uchaguzi wa 2025 uliofanyika leo tar 12 April.
Tarehe hii haipo kisheria na hakuna mahala inasema utiaji sahihi ufanyike muda gani kabla ya mchakato wa uchaguzi. Ingawa nina wasiwasai utiaji sahihi huu lazima ufanyike kabla ya mchakato wa uchaguzi haujaanza
Hivyo endapo kutakuwa na maelewano baina ya Chadema, na Tume ya uchaguzi kabla ya mchakato wa uchaguzi au muda uliowekwa basi watasaini.
KAILIMA RAMADHANI NI MWIZI MZOEFU WA KURA NA NDIO ALISAIDIA CCM MWAKA 2015 ILIPOKUWA INAELEKEA KUSHINDWA UCHAGUZINi mapema sana kusema CHADEMA hawatoshiriki uchaguzi mkuu wa 2025 kwa kutokushiriki utiaji saini wa kanuni za maadili ya uchaguzi wa 2025 uliofanyika leo tar 12 April.
Tarehe hii haipo kisheria na hakuna mahala inasema utiaji sahihi ufanyike muda gani kabla ya mchakato wa uchaguzi. Ingawa nina wasiwasai utiaji sahihi huu lazima ufanyike kabla ya mchakato wa uchaguzi haujaanza
Hivyo endapo kutakuwa na maelewano baina ya Chadema, na Tume ya uchaguzi kabla ya mchakato wa uchaguzi au muda uliowekwa basi watasaini.
Marhabaa, asante nimekuelewaNi utaahira mkubwa sana kushiriki uchaguzi ambao unajua hata ukishinda hutatangazwa kuwa umeshinda.
Maneno yenye kusisimua sana
Sio tena kwamba TONE TONE linatumika kununua virusi vya Ebola na M.Pox?.Maelewano na wahuni? Hakuna kitu kama hicho wasuse
View: https://www.instagram.com/p/DIWUk3xIQkA/?igsh=MTdobG52NnE4MjQwMQ==