CHADEMA: Bajeti ya Katiba Mpya haipo kwenye bajeti Kuu

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema serikali itoe majibu kwanini bajeti ya Katiba mpya haipo kwenye Bajeti Kuu ya Serikali iliyowasilishwa bungeni.

Aidha, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeunda kamati maalum ya Katiba mpya, itakayohakikisha katiba mpya inapatikana kabla ya 2027.

Akizungumza na waandishi habari leo tarehe 17 Juni 2026, John Mnyika Katibu Mkuu wa chama hicho amesema kuwa kamati kuu imeunda Kamati hiyo yenye wajumbe 11 itakayoongozwa na Mwenyekiti wake Dk. Rugemeleza Nshala.

Your browser is not able to display this video.
 
Hee, kumbe! Basi Raisi Samia anahitaji kulitolea hili maelezo
 
Kwani zile hela ambazo samia huwa anatoa toa hovyo hovyo huwa zipo kwenye bajeti kuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…