Elections 2010 Chadema biaramulo

Unless you bring here tangibles,......

ni kweli nimepata kutoka kwenye source ya uhakika Jimbo limeenda Chadema, za urahisi pia Slaa yupo juu ya JK, ni habari za uhakika wakuu
 
sina uhakika kama unaweza pata data za wagombea kwa maana ya idadi ya kura itakuwa na tija zaidi pia ni BIHARAMULO sio biaramulo
Kaongea kiarabu lakini ujumbe umefika japo umevunjikavunjia!
 
ngoja nifute machozi...............................yafuraha offcoz!:A S-cry:
 
za uraisi figure ziko karibu na hizi Chadema 28,000, CCM 20,000, hizo namba zina mamia lakini zikuweza kuzishika vizuri
 
wakuu nipo maliwatoni lakini nafuatilia hizi news.
kuna any reliable evidence jamani?????? nataka nikatishe haja nikimbilie barazani kushereheka
 
za uraisi figure ziko karibu na hizi Chadema 28,000, CCM 20,000, hizo namba zina mamia lakini zikuweza kuzishika vizuri



Kwa mwendo huu maisha bora kwa watanzania wote hayapo mbali baada ya mafisadi kushindwa!!!!!!
 
Ni jimbo la Biharamulo Magharibi.... wametangaza tangu jana limechukuliwa na CHADEMA
Jimbo la Chato pia lipo Biharamulo wamechukua CCM... John Pombe Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…