The weakest opposition. Very bogus, hawana msimamoSiku wananchi wakiamua uovu unakoma.
Government of the people for the people.
Uovu uondolewa na watu na sio vyombo
Eeenh, mkuu 'Nairobian', wewe CCM ya Magufuli wanakupenda kweli, tena wanatamani hata kukupa zawadi au tuzo kabisa.Hadi sasa, binadamu yeyote angeshasema basi inatosha. Leo Mnalia mitandaoni na Press Conference za Hovyo. Heche, Mnyika, Sugu, Msigwa et al.....mnategemewa sana, ila nanyi mmeonyesha ni wale wale. Hii haivumiliki, mstari mwekundu umevukwa. Enough is enough. Mass action ndio dawa.
Esther Bulaya, na Halima Mdee hawa wanaume wameonyesha ni wale mbwa koko wa kuficha mikia ikitishiwa. Hawafai, hawawezi kuongoza ukombozi, na ndio wengi wamenunuliwa. Hata wakina mama kama Harriet Tubman walileta mabadiliko
Muulize boss wako ametumia shilling ngapi kupambana na kitu weak still kashindwa.Kaukuta ataondoka atauachaThe weakest opposition. Very bogus, hawana msimamo
Wauaji nyie. Siku yenu inakujaMuulize boss wako ametumia shilling ngapi kupambana na kitu weak still kashindwa.Kaukuta ataondoka atauacha
Ina maana sisi ni wakubwa kuliko nyieWauaji nyie. Siku yenu inakuja
Kuingia ikulu hakuhitaji ujasiri, ila endorsement ya wengi! Nayo inatokana na uongozi wa kuleta maendeleo yanayowafikia wengi.Hadi sasa, binadamu yeyote angeshasema basi inatosha. Leo Mnalia mitandaoni na Press Conference za Hovyo. Heche, Mnyika, Sugu, Msigwa et al.....mnategemewa sana, ila nanyi mmeonyesha ni wale wale. Hii haivumiliki, mstari mwekundu umevukwa. Enough is enough. Mass action ndio dawa.
Esther Bulaya, na Halima Mdee hawa wanaume wameonyesha ni wale mbwa koko wa kuficha mikia ikitishiwa. Hawafai, hawawezi kuongoza ukombozi, na ndio wengi wamenunuliwa. Hata wakina mama kama Harriet Tubman walileta mabadiliko
Wewe ulitaka wafanyaje?Kuingia ikulu hakuhitaji ujasiri, ila endorsement ya wengi! Nayo inatokana na uongozi wa kuleta maendeleo yanayowafikia wengi.
Yaani nyie wenye busara na akili wamewakimbia wamebaki wanao fanana tabia; Mbowe, Heche, Mdee, Sugu( Wote wana fanana, sisemi wanavuta nini) alafu mnategemea muaminiwe na hawa hawa watanzania ninaowajua mimi!