KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Uongozi wa CHADEMA Unapaswa kutoa Tamko rasimi kama chama kwani huu uteuzi haukuzingatia weledi wawatu wanaohitajika, na wengi walioteuliwa hauwakilishi uhalisia wa mkundi yaliyotarajiwa zaidi ni uwakilishi wa CCM Na taasisi zake na watu waliopo karibu na CCM kitu ambacho watu wengi wanaona hawawezi kuleta tija katika kuleta Katiba nzuri yakuwakilisha watanzania wa leo na kesho.Haingii akilini kuwaacha watu waliobobea katika sheria na kuweka watu hata elimu ya kupambanua hawana tuangalie wenzetu kenya walichukua makundi yote yakawakilisha makundi ya sheria kama ma advocates NGO's zakutetea haki za binadamu! hajabu kuwaacha akina Nanelia Nkya, Be Hellen Kijobisimba, Prof Issa Shivji, Dr Hamed Salim, Joseph Butiku,Ayub Liyoba, Au mwakilishi kutoka Tanganyika low society,Misa Tan, MCT, TGNP, LHRC, CHRAG Yani hayo nimachache leo tunakuta wawakilishi kutoka CCM UVCCM Na washirika wake! CHADEMA Ndicho chama cha upinzani chenye wawakilishi wengi Bungeni kinatakiwa kutoa tamko.