CHADEMA chama bora mwaka 2008: Tujifunze toka kwao


Naomba nikubaliane na wewe mkuu.
 
Katika mabandiko yote ya Chadema ya mwaka 2008... Bandiko hili linashika mkia...

Siafikiani na hoja za Kibungo. Mimi ninadahani wakati mwingine sisi wachangiaji tusiwe- driven by our emotions. We have to ave analysis of other discourse and argue philosopocally, sio kuchallenge with no sense. Kibungo tupe hoja tofauti.

CHADEMA inafanya vizuri sana hata huku kwetu mpakani. Ni kweli kimeonyesha ushupavu wa hali na mali. Kinachofurahisha zaidi chama tawala mahali ninapoishi kinatekeleza baadhi ya mambo ambayo CHADEMA ilikuwa inaahidi kufanya wakati wa kampeni za 2005.
 
CHADEMA ni kweli chama kilichofanya vyema sana mwaka jana...na mpaka sasa wapo katika mtiririko mzuri sana!!

CHADEMA kina future kwani kimeweza kuwaamini nguvu ya vijana na kuamua kuwekeza moja kwa moja kwao...ndoyo chama chenye vijana wadogo watendaji...!CCM kina vijana wengi lakini wanabakia wapiga debe wakisubiri kudra za kina Kingunge...shit!!!

Kina vijana wengi wenye uchungu na wenye DIRA...pia wenye akili ya kisiasa zaidi kama ingekuwa mtaani wana "street knowledge" kwani kuna kusoma na kuelimika....hawa wanajua nini wanafanya!!

Angalau i hope mwakani tutaona mchuano wa vijana wenye akili na utashi na wazee wa ccm...mpaka sasa ligi hii vijana wanaenda sawia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…