CHADEMA chama cha mapepari wenye pesa chageuka cha wasio na pesa baada ya ushindi wa Lissu

CHADEMA chama cha mapepari wenye pesa chageuka cha wasio na pesa baada ya ushindi wa Lissu

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
CHADEMA ilianzishwa kama chama cha mabepari yaani capitalist party kinachoamini kwenye capitalism

Waanzilishi walikuwa matajiri na walitoa pesa na mali zao nyingi ndani na nje kukiendesha

Ushindi wa Lisu kuwa chama kimechukuliwa na walalahoi wasio na hela .Kitapata shida sana kujiendesha
Sababu wengi wa walalahoi waliochukua chama ni wale wanaowaza chama kitawafanyie nini
sio wao wakifanyie nini.

Wengi walikuwa wakilia pesa haziwafikii matawini chini ili wale

Je, Lissu kwenye uongozi wake ataliweza hilo asipoliweza ataingia kwenye mtafaruku na hao wa matawini muda si mrefu. Uchaguzi unakuja watataka apeleke pesa huko matawini ambazo hana

Na matajiri wenye pesa wanaondoa mitaji na pesa zao Chadema baads ya mshika fuko.lao Mbowe kuondoka uongozi

Wengi wawinda tu fursa
 
Back
Top Bottom