venividivici
Member
- Dec 30, 2006
- 19
- 0
Kura ktk nchi zilizoendelea zinapigwa kwa sababu ya policies, ideologies (Conservative, progressive). Tanzania hatuna vitu kama hivyo. Angalia vitu vilivyoimaliza CUF bara. Siyo kwa sababu walikuwa Wadini, No, CCM walitumia udini kuimaliza CUF bara. Na CUF walishindwa kuadress hizo issue in Public level.
Sasa hivi CCM wanatumia same policy za UDINI kuimaliza Chadema. Sasa kama Chadema wanataka kuovercome hizi issue inabidi waziadress in a public level. Chadema haiwezi kukaa bila ya action.
Chadema hakitodumu kwa muda mwingi. Kitakuwa kama NCCR-Mageuzi-TLP. Hizi sababu chache ambazo inabidi uziangalie kabla 2015.
Kuna factors nyingi sana ambazo zimefanya Chadema kuanguka ktk uchaguzi wa mwaka huu.
1:Kwanza Udini umeimaliza Chadema. Chadema hakina haki sawa ktk uongozi.
2: Slaa alikuwa hana point za kiuchumi kuwafanya wasomi wengi wampigie kura.
3:Kashfa iliyomkumba kuhusu mke wa watu, imefanya upinzani kuwa weak, pamoja na Chadema.
4: Degree aloyosomea ya Upadre haihusiani kabisa na Maisha ya MTZ.
5: Chadema bado haina wafuasi wa dini ya Kiislamu.
Chadema kama inataka iendelee ktk siasa za TZ, inabidi waangalie hizo agenda. Wataweza vipi kuwashawishi Waislamu ktk Chadema. Nilikuwa naongea na Waislamu wengi, ambao walikuwa hawamuamini Dr. Slaa. Wanaamini kwamba Dr. Slaa atakuwa kama Nyerere. Hili ni Tatizo kwa Chadema.
Solution:
1:Ungana na CUF, TLP, NCCR.
2:Toa ahadi kwa Waislamu, waambie Waislamu kwamba mnaonewa na CCM.
3: Dr. Slaa, kuwa karibu na Waislamu, na ondoa FIKRA kwamba JK anapendelea Waislamu.
NK.
NCCR wamechukua jimbo la buyungu na kigoma kusini muhambwe limeenda kwa CCMYour damn fool
Kwanza,Mie ni Independent, sipo ktk chama chochote.Ndugu yangu Haki............ mbona una mawazo finyu? mbona una udini? mbona CUF haina wafuasi wengi bara? mbona wafuasi wengi wa CUF wapo sehemu za mwambao tu .........
Mbona CHADEMA hawasemi kwamba CUF ni chama cha udini ........ mbona ...... mbona ........... fikiria kwanza kabla ya kuandika. Tanzania itajengwa na wenye moyo na upendo na sio wenye udini :israel:
My Plan B is here:
Mkakati wa Wapambanaji Ndani ya Bunge Lijalo;
* New Electoral Commission (Tume Mpya na Huru ya Uchaguzi)
* Mabadiliko ya Katiba, kuondoa Viongozi CCM kuwa wakala wa Tume Mikoani (Wakurugenzi na Watendaji)
* Kubadili Katiba ili Rais aweze kuwajibishwa kwa kosa lolote la kwake au mtendaji wake.
* Kupunguza Mamlaka ya Rais kuteua mtu yeyote, lazima athibitishwe na Bunge.
Hii yote ilkifanikishwa kwa 85%, ifikapo uchaguzi mwaka 2015 - Kutakuwa Chama cha Kijani Tz...watabaki 'Masalia' tu.
Na kuanzia sasa, hakuna kulala, kazi inaanza baada ya uchaguzi huu!
Nawakilisha.....People's Power!!
Wana JF. Can i suggest somethin? LETS NOT COMMENT ON HOJA ZA KIPUUZI. Mtu akileta hoja yakijinga, tukataetu kumjib. Mwishowe tunaonekana wajinga kujibizana na wajinga wa ccm