CCM ndio imefanikiwa Braza K amechomesha.Tangu kuchaguliwa kwa Lissu na kuja na Falsafa ya NO REFORM NO ELECTION sijaandika uzi hapa jamvini,Leo baada ya CHADEMA kutoshiriki utiwaji wa saini katika kanuni za Uchaguzi kitendo kinachowaweka CHADEMA kuwa nje moja kwa moja kushiriki Uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 nimeona nitie neno fupi.
CHADEMA IMESHINDA PAMBANO. Kama sote tunavyojua uchaguzi mkuu huwa na shamra shamra za aina yake wakati wa Kampeni na kuhitimishwa kwa heka heka za siku ya Uchaguzi kwa kushuhudia misururu mirefu ya wapiga kura na baadaye heka heka za kutangaza matokeo.
Kwakuwa kura ni siri, CHADEMA mara zote husema kura zao zimeibiwa na CCM husema wao ndio waliopigiwa kura.Sasa uchaguzi wa mwaka huu kura zinaweza kuhesabiwa na kila mtu kwa macho yake,hii ni kwasababu kura za CCM zitahesabiwa kwa kutazama tu idadi ya watakaojitokeza kwenda kupiga kura.
Hii ina maana kwamba Viongozi wa CHADEMA, wanachama na wafuasi jukumu Lao sasa ni kujikita tu kushawishi watu wasijitokeze vituoni, na hili ninaona likifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Mwaka huu kuna wasimamizi wa vituo watakuwa wanasinzia kwakuwa hawatakuwa na watu waliopo vituoni kwa ajili ya kupiga kura.
Hivyo matokeo ya Uchaguzi wa chama gani kati ya CCM na CHADEMA kinakubalika na kupokea utii wa Watanzania itakuwa ni jinsi watu watakavyojitokeza au kutojitokeza katika kushiriki Kampeni na Upigaji kura.
Hongereni CHADEMA hongera Lissu kwa akili kubwa.
Hakuna tabu hata kikibaki kama vyama vingine vidogo kabisa.Nimeumizwa sana na ujinga uliyofanyika, Chama kinaenda kupotea
Kwa wasioelewa video hii,ni moja kwa moja kutakuwa na shida kwenye ubongo.Mapolisi TISS Magereza wajitokeze kwa wingi ili kupiga kura safari hii hakuna haja kufanya siri.
View attachment 3301549
Nayani wamefurahia kifo cha mwenye shambaTangu kuchaguliwa kwa Lissu na kuja na Falsafa ya NO REFORM NO ELECTION sijaandika uzi hapa jamvini,Leo baada ya CHADEMA kutoshiriki utiwaji wa saini katika kanuni za Uchaguzi kitendo kinachowaweka CHADEMA kuwa nje moja kwa moja kushiriki Uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 nimeona nitie neno fupi.
CHADEMA IMESHINDA PAMBANO. Kama sote tunavyojua uchaguzi mkuu huwa na shamra shamra za aina yake wakati wa Kampeni na kuhitimishwa kwa heka heka za siku ya Uchaguzi kwa kushuhudia misururu mirefu ya wapiga kura na baadaye heka heka za kutangaza matokeo.
Kwakuwa kura ni siri, CHADEMA mara zote husema kura zao zimeibiwa na CCM husema wao ndio waliopigiwa kura.Sasa uchaguzi wa mwaka huu kura zinaweza kuhesabiwa na kila mtu kwa macho yake,hii ni kwasababu kura za CCM zitahesabiwa kwa kutazama tu idadi ya watakaojitokeza kwenda kupiga kura.
Hii ina maana kwamba Viongozi wa CHADEMA, wanachama na wafuasi jukumu Lao sasa ni kujikita tu kushawishi watu wasijitokeze vituoni, na hili ninaona likifanikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Mwaka huu kuna wasimamizi wa vituo watakuwa wanasinzia kwakuwa hawatakuwa na watu waliopo vituoni kwa ajili ya kupiga kura.
Hivyo matokeo ya Uchaguzi wa chama gani kati ya CCM na CHADEMA kinakubalika na kupokea utii wa Watanzania itakuwa ni jinsi watu watakavyojitokeza au kutojitokeza katika kushiriki Kampeni na Upigaji kura.
Hongereni CHADEMA hongera Lissu kwa akili kubwa.
Mungu atatenda kabla ya uchaguziMapolisi TISS Magereza wajitokeze kwa wingi ili kupiga kura safari hii hakuna haja kufanya siri.
View attachment 3301549
jumlisha wao na idara nyingine wako laki6 tu nchizima(kwamana kuazia watumishi serikalini huko vijijini kwenu mpaka ikulu ya Tanzania)Mapolisi TISS Magereza wajitokeze kwa wingi ili kupiga kura safari hii hakuna haja kufanya siri.
View attachment 3301549
Kwa mara ya kwanza toka tupate uhuru tuna chama Cha upinzani kinachoanini katika upinzani. Haikuwa na maana na bado hakuna maana yoyote kushiriki katika uchaguzi ambao matokeo yake yanafahamika hata kabla ya uchaguzi. Unaikumbuka hii kauli:Nimeumizwa sana na ujinga uliyofanyika, Chama kinaenda kupotea
ni hatari..., ipo siku...
Freedom is comingTangu kuchaguliwa kwa Lissu na kuja na Falsafa ya NO REFORM NO ELECTION sijaandika uzi hapa jamvini,Leo baada ya CHADEMA kutoshiriki utiwaji wa saini katika kanuni za Uchaguzi kitendo kinachowaweka CHADEMA kuwa nje moja kwa moja kushiriki Uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 nimeona nitie neno fupi.