Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tulionya tangu mapema sana kwamba huu mpango wa Chadema wa kusajili wanachama kwa njia ya kisasa ya kidigital utaua cccm na mamluki wake , hii ni kwa sababu Wananchi wengi sasa wamefahamu kwamba Chadema ndio Mkombozi wa kweli wa dhiki na tabu zao .
Masuala ya Tozo , mgao wa maji na umeme , kuanguka kwa uchumi wa nchi kulikosababisha wananchi kuishi kwa mihogo na chachandu , huku viongozi wakiwadharau wananchi na kuwaona mabwege na kutangaza kuendelea kununua ndege kwa cash , ambazo hazijawahi kuleta faida hata ya senti tano , kumewafanya wananchi waendelee kuiamini Chadema na kuendelea kumiminika kwenye usajili wa Chadema Digital .
Jambo hili limewatisha Watawala na kuamua kuleta visingizio vya kijinga .