CHADEMA DIGITAL balaa, CCM yaanza kutumia Polisi kuidhibiti

Tukisema nchi ni kama haina rais, tutaambiwa tunamuonea mama!

Hata kama nchi ina rais, ni kwasababu matendo yanayoendelea ambayo rais anayafumbia macho, ndiyo maana inaonekana kana kwamba hakuna rais. Lakini Yupo na matendo hayo ameyabariki.

Na kwa mantiki hiyo, hafai kuwa rais.
 
Ni ngumu sana kumruhusu mtu akuonee halafu useme nitapambana naye baadaye. Walitakiwa kupambana vikali na jiwe alipoleta habari za kuzuia mikutano.

Hata hii habari ya wagombea kuenguliwa tegemeeni kuendelea au kuzidi.
 
Naunga mkono hoja. Tanzania haina rais wala mtawala.
 
Donge limekukaba kwenye koo pole sana.
 
Ni ngumu sana kumruhusu mtu akuonee halafu useme nitapambana naye baadaye. Walitakiwa kupambana vikali na jiwe alipoleta habari za kuzuia mikutano.

Hata hii habari ya wagombea kuenguliwa tegemeeni kuendelea au kuzidi.
Mbinu za kupambana na Jiwe zilibadilika pale alipobadilisha mapambano kuwa elimination ya anaopambana nao.
 
Ila 2025 parefu, hivi tutatoboa na huyu mama kweli? Kwa hii hali ya kimaisha kwa sasa hadi mvua zimeogopa Tanzania zinakuja kwa kusoma ramani
 
Ungejua app ya ccm inawachama million ngapi usingeleta huu upuuzi wako hapa muuza mayai wewe

USSR
Ccm haina wanasema bali ina wapambe na wasaka tonge , kama inaweza ?? Iruhusu uwanja sawa wa siasa italuona!!!!!
 
Pamoja na usajili kuna kuwa na semina na makongamano ya katiba mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…