johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mbona umefura ghafla?aisee tutafute pesa tusomeshe watoto wetu shule nzuri ili kupunguza idadi ya mazwazwa kama mleta mada.
Hahahaaaa......... Kidigitali wataondoka pia kuelekea Lumumba!Hamia chama digitali kumenoga John, ukifika majibu yote ya maswali Yako utapata, uanachama na KADI ya chaguo lako.
Hii ni dawa ya kupambana na ule ujambazi wa kwenye chafuzi.Hahahaaaa......... Kidigitali wataondoka pia kuelekea Lumumba!
elimuMbona umefura ghafla?
Mr. Dudumisi achana na chama chakavu hamia chama digitali. Ufurahie maishaMfa maji haishi kutapa tapa baada ya kipigo cha 2025, watakuja na style nyingine.
Hahahaaha aisee mkuu Bengal unafurahisha sana. Yani unanishauri nitoke kwenye chama chakavu chenye viongozi wapya, nihamie kwenye chama digitali chenye viongozi chakavu? Sera za chama ni zilezile (ukitoa ile ya ufisadi ambayo iliondoka na dr Slaa 2015) viongozi ni wale wale (takriban miaka 20 sasa) So hapo kuna nini kipya cha kunishawishi mkuu?Mr .Dudumisi achana na chama chakavu hamia chana digitali. Ufurahie maisha
Kwa shule zipi mkuu?aisee tutafute pesa tusomeshe watoto wetu shule nzuri ili kupunguza idadi ya mazwazwa kama mleta mada.
Du hatari snHahahaaha aisee mkuu Bengal unafurahisha sana. Yani unanishauri nitoke kwenye chama chakavu chenye viongozi wapya, nihamie kwenye chama digitali chenye viongozi chakavu? Sera za chama ni zilezile (ukitoa ile ya ufisadi ambayo iliondoka na dr Slaa 2015) viongozi ni wale wale (takriban miaka 20 sasa) So hapo kuna nini kipya cha kunishawishi mkuu?
ambazo sio za kata.Kwa shule zipi mkuu?
Mwigulu amesoma Ilboru na wengine na wengine unao waona madarakani wote hakuna ambaye amesoma shule ya kata, matokeo yake sasa ni kupiga mali za umma hakuna la maana bora kutokusoma mkuuambazo sio za kata.
Ndio mtoe hiyo elimu au tuwakodishe Dr Msukuma awafundishe siasa?!!elimu
Chadema ni kama kichuguu kinachomlea malkia na kutoa mchwa!Hahahaaha aisee mkuu Bengal unafurahisha sana. Yani unanishauri nitoke kwenye chama chakavu chenye viongozi wapya, nihamie kwenye chama digitali chenye viongozi chakavu? Sera za chama ni zilezile (ukitoa ile ya ufisadi ambayo iliondoka na dr Slaa 2015) viongozi ni wale wale (takriban miaka 20 sasa) So hapo kuna nini kipya cha kunishawishi mkuu?
grow up.Ndio mtoe hiyo elimu au tuwakodishe Dr Msukuma awafundishe siasa?!!
Endeleeni kudumaa na kuwaibia wajinga visenti vyao!grow up.
Vipo vingi ndugu, karibu.Hahahaaha aisee mkuu Bengal unafurahisha sana. Yani unanishauri nitoke kwenye chama chakavu chenye viongozi wapya, nihamie kwenye chama digitali chenye viongozi chakavu? Sera za chama ni zilezile (ukitoa ile ya ufisadi ambayo iliondoka na dr Slaa 2015) viongozi ni wale wale (takriban miaka 20 sasa) So hapo kuna nini kipya cha kunishawishi mkuu?