CHADEMA Digital upande wa pili wameng’ang’ania ngazi

CHADEMA Digital upande wa pili wameng’ang’ania ngazi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1622466487777.png
 
Yaani ngazi anayo ccm inayoweza kuwavusha cdm, na ccm ndo anakunywa nayo juice kabisa!! Mbowe upo?
 
Yaani ngazi anayo ccm inayoweza kuwavusha cdm, na ccm ndo anakunywa nayo juice kabisa!! Mbowe upo?
CCM alivyopanda akachomoa ngazi akalemaa anakunywa juis alijua aliye chini hawezi mpandia tena ila mwenzake kaja kwa droni kidijitali zaidi
 
Kiukweli wanaowaza ipo siku Chadema itakufa futeni hayo mawazo hili ni dude jingine
 
Back
Top Bottom