mmh JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 2,910 Reaction score 5,084 May 31, 2021 #2 Yaani ngazi anayo ccm inayoweza kuwavusha cdm, na ccm ndo anakunywa nayo juice kabisa!! Mbowe upo?
GeoMex JF-Expert Member Joined Jan 10, 2014 Posts 5,431 Reaction score 19,913 May 31, 2021 #3 mmh said: Yaani ngazi anayo ccm inayoweza kuwavusha cdm, na ccm ndo anakunywa nayo juice kabisa!! Mbowe upo? Click to expand... CCM alivyopanda akachomoa ngazi akalemaa anakunywa juis alijua aliye chini hawezi mpandia tena ila mwenzake kaja kwa droni kidijitali zaidi
mmh said: Yaani ngazi anayo ccm inayoweza kuwavusha cdm, na ccm ndo anakunywa nayo juice kabisa!! Mbowe upo? Click to expand... CCM alivyopanda akachomoa ngazi akalemaa anakunywa juis alijua aliye chini hawezi mpandia tena ila mwenzake kaja kwa droni kidijitali zaidi
Ugumu wangu JF-Expert Member Joined May 6, 2021 Posts 1,685 Reaction score 3,552 May 31, 2021 #4 Kiukweli wanaowaza ipo siku Chadema itakufa futeni hayo mawazo hili ni dude jingine