Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Dodoma Mjini umelalamikia kuwepo kwa vitendo vya hujuma katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwenye Daftari la Mkaazi.
Akizungumza leo, Oktoba 14, 2024, katika ofisi za CHADEMA Kanda ya Kati zilizopo jijini Dodoma, Mwenyekiti wa CHADEMA Wilayani humo, Stephen Karashan, amedai kuwa wamebaini majina feki katika moja ya vituo vya uandikishaji wa wapiga kura.
Soma Pia:

- Mnyika aitupia lawama TAMISEMI, adai ni Mpango wa CCM na TAMISEMI kutohamasisha Uandikishaji wa Wapiga Kura
- Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video