Anyisile Obheli JF-Expert Member Joined Dec 13, 2009 Posts 3,400 Reaction score 320 Nov 5, 2010 #3 nimeipenda sana hapo lazima kieleweke
L Lweye Senior Member Joined Apr 15, 2010 Posts 158 Reaction score 101 Nov 5, 2010 #4 Ee bwana hiyo timu labda ya mechi ya kirafiki. Kama ni ya kutafuta point haiwezekani Tundu Lisu asiwemo. Irekebishe mkuu!
Ee bwana hiyo timu labda ya mechi ya kirafiki. Kama ni ya kutafuta point haiwezekani Tundu Lisu asiwemo. Irekebishe mkuu!
C Casa JF-Expert Member Joined Sep 20, 2010 Posts 329 Reaction score 157 Nov 5, 2010 #5 Mimi naona Tundu Lissu ambaye hukumuweka kwenye hii list atakuwa kinara wa mabadiliko katika bunge linalokuja. Ni intellectual activist na haogopi
Mimi naona Tundu Lissu ambaye hukumuweka kwenye hii list atakuwa kinara wa mabadiliko katika bunge linalokuja. Ni intellectual activist na haogopi
T Tofty JF-Expert Member Joined Nov 6, 2008 Posts 206 Reaction score 13 Nov 5, 2010 #6 Haha good one mate!