Mohamed Abubakar
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 984
- 1,179
Kha!kha!,tena?Hilo BOGA tulipeleke wapi bora hata lingekuwa tikiti lina sukari
Chadema itakuwa foolish ikirudia makosa ya kuchukua wanaccm walioachika huko,chadema should never repeat those grave mistakes againBila kuwachosha kichwa habari kunajitosheleza. Si watz wanataka wasema Ukweli. Basi nape ni msema ukweli.
Ccm hawawapendi wasema ukweli.
Hivyo upindazi na hasa chadema achague hii karata.
Mtakuja kunishukuru.
Mbinu zote za ushindi anazijua
Nape hawezi kuishi nje ya mfumo wa ccm... Utamuona muda si mrefu ataelekeza litumbo lake kwenda kuomba msamaha kwa SSHBila kuwachosha kichwa habari kunajitosheleza. Si watz wanataka wasema Ukweli. Basi nape ni msema ukweli.
Ccm hawawapendi wasema ukweli.
Hivyo upindazi na hasa chadema achague hii karata.
Mtakuja kunishukuru.
Mbinu zote za ushindi anazijua
Ngoja sasa Faili ya Dawa za Kulevya liwekwe tayari tayari. Tafadhali sitaki kabisa Kuulizwa Swali lolote kuhusu hilo File.Bila kuwachosha kichwa habari kunajitosheleza. Si watz wanataka wasema Ukweli. Basi nape ni msema ukweli.
Ccm hawawapendi wasema ukweli.
Hivyo upindazi na hasa chadema achague hii karata.
Mtakuja kunishukuru.
Mbinu zote za ushindi anazijua
Hana lolote...Bila kuwachosha kichwa habari kunajitosheleza. Si watz wanataka wasema Ukweli. Basi nape ni msema ukweli.
Ccm hawawapendi wasema ukweli.
Hivyo upindazi na hasa chadema achague hii karata.
Mtakuja kunishukuru.
Mbinu zote za ushindi anazijua
Hana lolote...