usiingizwe chaka na huyo mamluki wa ccm , ni kapuku anayeishi kwa kulamba miguu ya viongozi wa ccm kwa porojo za kijinga humu jf , asikupoteze .Mwenyewe nimepata picha kama hii hii kwa kusikia sarakasi za leo.
Sasa mbona mmetutangazia mnachukua nchi kumbe hata askari watiifu hamna.Kipigo cha kushindwa vibaya kinawahusuNi vigumu kujua nani ni nani,hawajafuata ukombozi wamefuata pesa.Wapinzani wenye nia thabiti wenye uwezo wa kutetea kile wanachoamini sio wengi kwenye kinyanganyiro.
Siku zijazo utajajua wapo watu wanaotumia upinzani kama biashara ya utumwa.